Redds Miss Temeke Geneviva Emmanuel (kati) akifurahia baada kushinda taji hilo usiku wa kuamkia leo TCC Club Chang'ombe jijini Dar. Shoto ni mshindi wa pili Anna Daud na kulia ni mshindi wa tatu Britania Urasa. Wote watashiriki katika fainali za Miss TZ mwaka huu mshindi wa pili Anna Daudi (kulia) na Pendo Urassa mshindi wa tatu






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...