Pichani ni mdau Feisal Omar(mtoto wa Babu Njenje na Golikipa wa Stars United) anaelekea Minnesota kwenda kula Raha kama sehemu ya sherehe za hepi besdei ya kuzaliwa kwake. Anawakaribisha wanaoweza kujumuika nae kwa mikono miwili, akikazia kwamba unachotakiwa wewe fika tu Minnesota Raha zote; Burudani na mambo yasiyokuwa na lazima muachie yeye kwani ni siku yake. Hepi besdei Feisal!
Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa mwana wa njenje
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Happy Birthday Feisal from Kilimanjaro Band (Wananjenje)
ReplyDeletekanyoe nywele hizo au unauza nyembe
ReplyDelete....oyaaaaa Faisal...........hahahahqa long time...........hahahaha.........da..noma.....unasuka ..hahaha!..........(kwa mkoro) salam zako bwana!
ReplyDelete