Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakitoka nje wa ukumbi wa mkutano wa Kizota wakati wa mapumziko mafupi ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa.
Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya kumthibitisha kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano mkuu unaofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo asubuhi.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Bi.Ashura Abeid Faraji kutoka Zanzibar akimsalimia mwenyekiti wa CCM , Rais Jakaya Mrisho Kikwete nje ya ukumbi wa mikutano wa Kizota wakati wa mkutano mkuu wa CCM unaofanyika mjini Dodoma.
Wahudumu wakibeba visanduku vya kura tayari kwenda kuhesabiwa baada ya wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kupiga kura leo mchana(picha na Freddy Maro)


Hivi ulikuwa ni mkutano mkuu au tamasha la muziki jamani
ReplyDeleteHuyu Baba Kikwete jamani ana natural love,lakini kwanini hatumii upendo wake huo kwa vitendo jamani? mpaka leo matatizo ya umeme!maji!wajawazito kulala CHINI! mashuleni huko..... sawa changes zipo lakini very very slow!wakati akiamua vitu vifanyike vinafanyika,mfano mzuri wakati wa mkutano wa nchi za afrika, barabara ya Ally Hassan Mwinyi mpaka mlimani kulipendeza sana, kisa? wageni waja! WHY kusubiri mpaka wageni ndio tuone miti barabarani jama! so sad, so so sad!
ReplyDeletenimependa kwa kumpitisha DR SHEIN lkn cjapenda demokrasia magumashi ya ndan ya chama eti hakuna aliyejitkeza kugombania na kikwete!!!mambo hayo ifike mahala tuachane nayo!!!hayo ndo yanapelekea hata mahakama inakuwa haijiamini wakati imepewa full autonomy!!!
ReplyDelete