Nimeona tuwapatie wadau wa muziki wa dansi waone jinsi Muziki wa dansi unavyoendelezwa huku Ulaya na kina Saidi Kanda (Ex- Matimila), Moses (Ex-Muungano dancing troupe) na wote kikosi hiki cha muziki wa dansi ktk kibao kwa jina Afrika , hii ni changamoto kwa old skul Tanzania ya muziki wa dansi
Mdau
Nomba kuuliza kama x-muungano anajua habari za Nobert Chenga. Jamani nitafurahi sana kuunganishwa nae. Alikuwa colleague wangu hapo Wizarani Utamaduni - Tancort House miaka ya 80. Na muungano ilikufa?
ReplyDeletePls help me. I really want to know about his where abouts!
Dada Chiku
ebwanae hawa jamaa wapo mji gani na wanapatikana wapi ningependa kupiga nao tizi kama hawatamind, maana nipo poa sema sijawa na band toka niingie hapa europe, naomba mawasiliano yao kama vipi ili tuendeleze muziki wetu wa dansi, safi sana jamaa nimeipenda sana.
ReplyDeleteJina la Saidi Kanda aliyetokea Matimila ni kubwa, nenda google tia jina SAIDI KANDA utapata full details na pia google club afrique london pia wataweza kukupatia full details.
ReplyDeleteNamwona pia mzee mzima Kawelee Mutimwana a.k.a fingerprint akikunguta mpini yeye zamani alikuwa Tancut Almasi n.k
ReplyDeleteKumbe sisi tunasema muziki wa dansi umepitwa na wakati, hauna soko, ma-Dj hawaupi muda ktk radio, hakuna mashabiki ili hali kumbe ni kukaza buti kama hii bendi na mashabiki hawatakosekana.
Kwa Tanzania hongera Msondo Ngoma Band na Sikinde kwa kuendeleza muziki wa dansi.
Hamna mpiga konga Tz kama said Tumba!!!koffi , nani nani wote wakija hapa uk lazima Said Tumba ashike konga... Big Up sidde!! Sijali nimekubali!!
ReplyDelete