JK akimsalimia na kumsikiliza msichana mlemavu Tabu Wanjala muda mfupi baada ya kuzundua mradi wa umeme na kuwahutubia wananchi katika kijiji cha Muriti, wilayani Ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2010

    afadhali hivi JK anavyofanya kama vile alivyofanya mheshimiwa mo dewji manake mtu kama ni mlemavu unaenda chini kumsikiliza.

    Mo angeweza angegombea uraisi na yeye itamwangusha si mzawa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2010

    Wizi mtupu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2010

    Anony wa mwanzo kabisa kwanini unanunuliwa kwa bei ndogo namna hii? Hivi mtu akifanya hivyo unavosema wewe then matendo yake yakawa completely opposite doest it help?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2010

    SASA UNAFIKIRI ANGEFANYAJE? HIYO NI POLITIKING MAN!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2010

    Hakuna binadamu aliyekamilika. JK anayo mapungufu yake kama mimi na wewe. Pamoja na hayo, ameonyesha kuwa karibu na wananchi wa kawaida regardless ya position yake kwenye gov. JK anakwenda kwenye misiba, anakwenda hospitali kuona wagonjwa, n.k. Nobody is perfect, but give his the credit he deserves. Tunajua Mkapa hakuwa hivyo. Kabla Mkapa hajawa rais, ukienda kwake pale Sea View, Upanga, hata ukiwa sebuleni kwake unaongea na mama Anna Mkapa, jamaa anakupita kama hajakuona.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2010

    Kwa Watanzania hatuna jema litakalo weza kuwa jema.sasa angesimama tungesema Rais jeuri ana adabu ana malezi ya pande mbili Leo anatimiza ubinadamu wake pia mbaya J.K mwana wa Chafosa Chai Goda wewe songa mbele
    Mpili

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2010

    Woote nyie mliokoment baada ya huyo wakwanza wanafiki wakubwa! Mlitaka huyo mama aongee naye vipi? Kwani kuwa rais ndio uwe na moyo wa jiti usio na chembe ya ubinadamu?

    Au ndio kusema kura moja ya huyo mama ndio itampatisha au kumkosesha urais?

    Malezi na makuzi yenu mabaya kabisa mmekosa utu na ubinadamu!Wala hata dini hamuna!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 08, 2010

    Nakubaliana wadau hapo juu..yani sasa hivi JK asifanye jema mnamnanga.Wakati ni wazi kabisa kwamba hajaanza kufanya hivyo leo wala jana. Ni mtu wa watu and its so obvious. Nakubali kabisa kwamba ana mapungufu yake lakini its getting too much now, kila kitu watu wanarelate na campaign, tujue kuchuja basi mashudu na pumba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...