Home
Unlabelled
JK ziarani ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
afadhali hivi JK anavyofanya kama vile alivyofanya mheshimiwa mo dewji manake mtu kama ni mlemavu unaenda chini kumsikiliza.
ReplyDeleteMo angeweza angegombea uraisi na yeye itamwangusha si mzawa.
Wizi mtupu
ReplyDeleteAnony wa mwanzo kabisa kwanini unanunuliwa kwa bei ndogo namna hii? Hivi mtu akifanya hivyo unavosema wewe then matendo yake yakawa completely opposite doest it help?
ReplyDeleteSASA UNAFIKIRI ANGEFANYAJE? HIYO NI POLITIKING MAN!
ReplyDeleteHakuna binadamu aliyekamilika. JK anayo mapungufu yake kama mimi na wewe. Pamoja na hayo, ameonyesha kuwa karibu na wananchi wa kawaida regardless ya position yake kwenye gov. JK anakwenda kwenye misiba, anakwenda hospitali kuona wagonjwa, n.k. Nobody is perfect, but give his the credit he deserves. Tunajua Mkapa hakuwa hivyo. Kabla Mkapa hajawa rais, ukienda kwake pale Sea View, Upanga, hata ukiwa sebuleni kwake unaongea na mama Anna Mkapa, jamaa anakupita kama hajakuona.
ReplyDeleteKwa Watanzania hatuna jema litakalo weza kuwa jema.sasa angesimama tungesema Rais jeuri ana adabu ana malezi ya pande mbili Leo anatimiza ubinadamu wake pia mbaya J.K mwana wa Chafosa Chai Goda wewe songa mbele
ReplyDeleteMpili
Woote nyie mliokoment baada ya huyo wakwanza wanafiki wakubwa! Mlitaka huyo mama aongee naye vipi? Kwani kuwa rais ndio uwe na moyo wa jiti usio na chembe ya ubinadamu?
ReplyDeleteAu ndio kusema kura moja ya huyo mama ndio itampatisha au kumkosesha urais?
Malezi na makuzi yenu mabaya kabisa mmekosa utu na ubinadamu!Wala hata dini hamuna!
Nakubaliana wadau hapo juu..yani sasa hivi JK asifanye jema mnamnanga.Wakati ni wazi kabisa kwamba hajaanza kufanya hivyo leo wala jana. Ni mtu wa watu and its so obvious. Nakubali kabisa kwamba ana mapungufu yake lakini its getting too much now, kila kitu watu wanarelate na campaign, tujue kuchuja basi mashudu na pumba.
ReplyDelete