MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI YANGA JAJI MKWAWA
Na Jane John
Kamati ya uchanguzi ya yanga imetangaza kampeni ya za uchaguzi za kugombea nafasi mbalimbali katika klabu hiyo zinaanza leo Alhamisi na zitamalizika JULY 17.

Mwenyekiti wa kamati ya uchanguzi wa klabu YANGA Jaji JOHN MKWAWA ameyasema hayo wakati akitangaza majina ya wangombea waliopitishwa na kamati ya uchanguzi ya klabu hiyo kushiriki katika kinyang’aniro cha uchanguzi TFF.

Jaji mkwawa aliwatangaza wangombea watano ambao watachuana katika kuwania nafasi ya uwenyekiti wa klabu ya YANGA kuwa ni LLYOD NCHUNGA,ABED ABED,EDGAR CHIBULA,MBARAKA IGANGULA na FRANCIS KIFUKWE.
Kifukwe na Abeid Abeid wamefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya kushinda rufani waliyokata TFF baada ya kuenguliwa hapo awali na kamati ya uchaguzi ya Yanga.

Jaji mkwawa ametaja majina ya wangombea watatu watakao chuana katika kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti kuwa ni AYUBU NYEZI, COSTANTINTINE MALIGO na DAVIS MOSHA.
Wangombea 29 wametangazwa kuwania nafasi ya kamati ya utendaji ya klabu ya YANGA.

Uchanguzi wa YANGA umepangwa kufanyika JULY 18 katika ukumbi wa PTA uliopo kwennye viwanja vya maonyesho ya MWALIMU NYERERE jijini DSM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...