Mgombe nafasi ya uwenyekiti YANGA FRANCIS KIFUKWE
akizindua kampeni katika tawi la yanga BUGURUNI
Mzee Yusuf Mzimba na George Mpondela 'Castro'
wakimsikiliza Kifukwe akimwaga sera

Baadhi ya wanachama ya Yanga tawi la Buguruni katika mkutano huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2010

    Bwana michuzi huyo wapili kushoto sio Omary Hussein"Keegan"?

    ReplyDelete
  2. YANGA BOMBAJuly 12, 2010

    Halafu mambo mengine yanakera na kushangaza sana,sasa mzee mzimba yeye yuko kwenye kamati ya uchaguzi ya yanga leo anazunguka na mgombea mmoja kila anapoenda!hii imeekaje?yeye si anatakiwa kuwa neutral?mbona wana kamati wenzie kina RIDHI KIKWETE Hatuwaoni kuzunguka na wagombea kuwanadi?mzee mziba sasa anazeeka vibaya maana anashindwa kuielewa busara ndogo tu kama hiyo....ni bora akapumzika aheshimiwe kama mzee wa club basi,inatosha sasa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...