Ni siku ya 31 toka ulipotutoka kimwili, kwani kiroho bado uko nasi.
Unakumbukwa kwa mapenzi ya majonzi na mama yako Edith,
Wanao
Charles, frank na Bonny
Unakumbukwa kwa mapenzi ya majonzi na mama yako Edith,
Wanao
Charles, frank na Bonny
Wajukuu
Margareth, Jane na Joan
Wadogo zako
Esther, Rose, Peter, John, Veronica, David na ukoo wote wa Kisaka.
Margareth, Jane na Joan
Wadogo zako
Esther, Rose, Peter, John, Veronica, David na ukoo wote wa Kisaka.
Mkesha wa arobaini utakuwa
tarehe 23/07/2010 Kijijini Lusanga
TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA BWANA LIHIDIMIWE
AMINI!
TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA BWANA LIHIDIMIWE
AMINI!
R.I.P. Dada Mage.
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya dada Mage mahali pema peponi , na awape nguvu familia yote ya marehemu. msiagi.
ReplyDeleteR.I.P mama, lazima nikuite mama sisemi kwa unafik lakin nakumbuka kipindi niko msingi nilikuwa nakuja sana na charlie nyumban masiwan(earl 90's) tanga, polen sana wana familia, plz charlie naomba number yako ni sik nyingi tumepoteana
ReplyDelete