Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald akiwa katika kambi ya mazoezi ya Miss Vyuo vikuu 2010 ( Miss Higher learning 2010). ambayo yalikuwa yamefanyiaka jana jioni katika ukumbi wa billicanas. Shindano hili linafanyika leo jioni kuanzia saa mbili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar ambapo mchango mlangoni ni Shillingi 5000

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2010

    huwezi kupunguza foleni kwa kukagua road license,bima na drivng license mzee.hapo unaahirisha tatizo.serikali wakiwa makini hao watu watalipia hizo issue na watarudi barabarani kama kawaida serikali itapata kodi zaidi na foleni haitapungua,tuletee mbinu za maana sio visolution uchwara

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2010

    Hivi hatuna kitu kingine watanzania tunaweza kufanya!!!. Maana kila kukicha miss kitu fulani!! Jamani hata tumeshachoka. Na ninyi mabinti hata hamna kitu kingine ni urembo tuuu!! Hamuoni kuwa mnajidhalilisha wakati mwingine?? Sisi wanaume tunajua mabinti wa kitanzania ni wazuri kwisha, then!!! Hebu tafuteni kitu kingine mbadala badala ya kung'ang'ania kitu kilekile tu kila kukicha!! Haaa. Miss vyuo vikuu, nendeni huko mkasome shule. Achaneni na kupoteza muda!!
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...