MAREHEMU MARGARETH FLORA SALIM (MBUYAGI)

Ni siku ya 31 toka ulipotutoka kimwili, kwani kiroho bado uko nasi.
Unakumbukwa kwa mapenzi ya majonzi na mama yako Edith,

Wanao
Charles, frank na Bonny

Wajukuu
Margareth, Jane na Joan

Wadogo zako
Esther, Rose, Peter, John, Veronica, David na ukoo wote wa Kisaka.

Mkesha wa arobaini utakuwa

tarehe 23/07/2010 Kijijini Lusanga

TULIKUPENDA LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI
JINA BWANA LIHIDIMIWE
AMINI!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2010

    R.I.P. Dada Mage.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2010

    Mungu ailaze roho ya dada Mage mahali pema peponi , na awape nguvu familia yote ya marehemu. msiagi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2010

    R.I.P mama, lazima nikuite mama sisemi kwa unafik lakin nakumbuka kipindi niko msingi nilikuwa nakuja sana na charlie nyumban masiwan(earl 90's) tanga, polen sana wana familia, plz charlie naomba number yako ni sik nyingi tumepoteana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...