This beautiful Land Rover Freelander has been recently imported from the United Kingdom. It has less than 4 weeks in the country. Owner has to leave the country soon.
CONTACT: 0787 200045, 0754 695695

Land Rover Freelander Station Wagon 1.8 xi
Engine size:1796cc
Color: Silver Fuel type: Petrol
Registration year: 2000 Number of Seats: 5
Body Style: 4x4 Gearbox type: Manual

Asking price: 12,000 USD (negotiable)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2010

    this car is good.sasa mkuu, mimi nina million 10 cash.email yangu hii hapa marcosamweli@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2010

    SEMA BEI WEWEe. MAGARI KWA SASA NI BWEREREEE DAR. INABIDI UMBEMBELEZE MTEJA. OTHERWISE IPELEKE MERERANI UNAWEZA KUIUZA CHAAAP HUKO KWANI MAWE KWA SASA YANATOKA SANA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2010

    Two Words: "HEAD GASKET"

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2010

    wadau mimi nataka kununua gari kuagiza gari aina hii kutoka Japan, naomba kama una taarifa kama vile upatikanaji spares, hapo kwetu Bongo ukoje?inalipa? au ni matatizo?

    ReplyDelete
  5. KWA NINI KILA ANAYEUZA GARI HUWA ANADAI KUWA ANAONDOKA NCHINI SOON...KWA NINI ASISEME TU KUWA AMELETA GARI TOKA UK ILI KULIUZA BONGO...BE HONEST PEOPLE

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2010

    HIYO BEI NI KICHAA AND A MONKEY PRICE, GARI KAMA HIYO BEI KUBWA SANA TENA SANA LAKINI
    SI-SHANGAI INAWEZA IMEFIKIA HAPO KUTOKANA NA TRA ANAWEZA WAMEMKANDIKA USHURU SASA ANATAKA KURUDISHA PESA YAKE, SO WA KULAUMU NI SERIKALI. GARI KAMA HIYO HAPA UK UNAWEZA KUPATA KWA KATI YA £1500 NA £3000 SI ZAIDI YA HAPO TUKIWEKA DOLLAR 12000 NI SAWA NA SHILINGI 19,000,000 HII BEI KUBWA KWA GARI HIYO. alafu gari hizo ni nzuri kwa kuziangali tu lakini zina usumbufu sana hasa hayo matoleo ya zamani ndo maana ziko cheap sana hapa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2010

    ANOTHER WORD = water pump!!!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 29, 2010

    wewe unaesema kwanini kila anaeuza gari huwa anadai kuwa anaondoka nchini soon, kwanini unatuuliza sisi si umpigie mwenye gari umuulize na kama unawasiwasi na maneno yake nenda kacheki travel documents zake unatuuliza sisi ili iweje. si tunamjua kwani.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 30, 2010

    hiyo ni ndoa kati ya garage na ww Head Gasket ndiyo itakuwa Marriage certificate !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...