Mambo yote july 4th weekend ni Minnesota,pati ya Boti,
LEO NDIO LEO ASIE NA MWANA AELEKE KISTONI,
kama unakumbukumbu ya zile pati za OHIO,wakati wa mermorial weekend,au DC,wakati wa labor day weekend,basi hautasita kuwa mmoja ya wale tulio wengi tulio bahatika na kuelekea miji mapacha,kama upo jirani aaah ndugu yangu unasita nini kuchoma gari moto?????,
mambo yanaanza MUDA SI MREFU LEO tarehe 2 July ijumaa,kwa Dj Luke kutoka DC kukupa ile kitu roho inapenda,address,
MARRIOTT HOTEL,DOWNTOWN MPLS,
30 SOUTH,7TH STREET,
MPLS,MN,55402
Jumamosi ni Rumba ndani ya Boti na Dj Luke kutoka DC,
Address,From 7:30pm-1:00am
525 SOUTH MAIN STREET,
STILL WATER,MN,55408
Jumapili ni ULTIMATE SOCCER BONANZA,Stars United,Houston(Serengeti Boyz),Uganda(The Cranes) naWenyeji Minnesota Stars na kama wewe ni mpenzi wa BBQ usisahau TOOTHPICK,Nyama ni za kumwaga,Address,From 2:00pm-8:00pm,
DRIFTWOOD PARK,
2705 5TH STREET,NW,
NEW BRIGHTON,MN,
Baadae ni Farewell Party From 10:30pm-3:00am,
MARRIOTT HOTEL,DOWNTOWN MPLS,
30 SOUTH 7TH STREET,
MPLS,MN,55402
kuikosa pati boti hii ni kosa la jinai!!!!

Minnesota siendi, ila thanx kwa video ya Davi Joseph. Mie naupenda zaidi wimbo wake wa "YOU CANT HIDE YOUR LOVE TO ME" NA HII VIDE YAKE. Angalia hair cut na jinsi koti alivyokunja. Then imagine gate crashers kaa kumi hivi wanavamia party yako. Tamu sana.....
ReplyDeleteBlackmpingo
Haya unatukumbusha mbali Ankal pamoja na kutupiga picha ktk Disco Dancing Halls na vibao hivi:
ReplyDeleteKool& The Gang-'Get Down On It',
Five Star- 'All Fall Down',
Nu Shooz- 'I Can't Wait, InnerCity-'Good life',
Nu Shooz- 'Should I Say Yes', Soul II Soul- 'Back to Life',
Nu Shooz- 'Point Of No Return',
Kool& The Gang-'Lets Go Dancing',
n.k n.k
Mdau
Honolulu, Visiwani Pasifiki
Na kwa Dacota ni saa ngapi au sio weekend hii maana sio kwenye ratiba...
ReplyDeleteall the best mtakaoenda...