Skauti wakipandisha Bendera ya Taifa ikiwa ni Maandalizi ya Kuanza kwa Maonesho ya 36 ya Sabasaba yaliyoanza wiki hii jijini Dar es salaam
Skauti wakipandisha Bendera ya Taifa ikiwa ni Maandalizi ya Kuanza kwa Maonesho ya 36 ya Sabasaba yaliyoanza wiki hii jijini Dar es salaam
Je kupandisha bendera lazima uvue viatu?
ReplyDeleteKuna yeyote anajua wapi naweza kupata saba saba online
ReplyDeleteI c my boy Mathew Kileo.Me just admire u kaka mh...........
ReplyDeleteMbona vitambulisho vyetu vinaonyesha Maonyesha ya 34 wakati wee umeandika maonyesha ya 36??
ReplyDeleteMhh! Ningetarajia kuona watumishi wa BUNGE wakiwa katika mavazi ya Kitanzania na siyo suti za wazungu! Uko wapi utanzania wetu jamani kama hata mavazi ya watumishi wa taasisi nyeti ya wa TZ tunaiga ya Ulaya!!??
ReplyDeleteHawa ni Skauti wa wapi bwanaa?? uliona wapi mtu anakumbuka kuvua viatu eti heshma wakati huo kaacha mtu pembeni anaongea kwenye simu!!!!! Nadhani hawa ni waigizaji tu
ReplyDelete