RAIS MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA NA MAI WAIFU WAKE GRACA MACHEL WAKIINGIA UWANJA WA CITY STADIUM HUKO SOWETO KUANGALIA KOMBE LA DUNIA. HISPANIA ILIFANIKIWA KUTWAA UBINGW WA DUNIA KWA KUIFUNGA NA KUIGALAGAZA UHOLANZIKWA BAO 1-0.
ANGALIZO: samagani wadau, vidole viliteleza,
awali kikosi kazi cha Globu ya Jamii Kiliandika 1-1.
samahani na poleni kwa usumbufu. vidole havina mfupa.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Spain ilishinda 1-1 unatuchukoza ama ndio umepoteza umakini wako misupuuu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2010

    ""SPAIN ILISHINDA 1-1 KA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA""

    Waandishi wa nyumbani kuweni makini na mnachokiandika!! huu upuuzi haumpendezi mtu yeyote!
    sentensi mboovu, habari si za kweli, tutafika kweli?

    SPAIN ilishinda goli moja tuh!

    ReplyDelete
  3. "SPAIN ILISHINDA 1-1 KA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA"...........kumbe ukishinda 1-1 unatwaa ushindi???...hii kali

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2010

    duh michuzi sijui mechi wewe uliangalia wapi 1-1 matokeo hayo uliyaona wapi? na toka lini timu huhisabika imeshinda kama matokeo ni 1-1 au nawe umekuwa kama magazeti ya USA walipotangaza kuwa wameshinda 1-1 walipocheza na england?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2010

    Mbona hii habari siielewi eti Spain ilishinda 1-1 sasa kama ilikuwa droo mbona wao wachukue kombe?. Jamani hebu kueni makini mnapopost habari hapa. Hii blog inasomwa na watu wengi unafikiri wanafikiriaje??Wanaona Blog ya visibo wasiokuwa makini na habari wanazoziandika.Kaka michuzi hata usiponitoa ujumbe utakuwa umeusoma.Thnx.

    ReplyDelete
  6. Ankal bila shaka ulikuwa unamaanisha 1-0.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 12, 2010

    uncle punguza gongo !!gongo na kazi hazi mix !1

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2010

    Usijali tunashukuru kwa kuligundua hilo kua vidole havina MFUPA!!!!!! Ila next time hapana Fanza Uploading wkati SINZIA!!!!!! Kusdinda 1-1 Ulishaona wapi,? Mimi Hapana Ona Tangu Nasaliwa!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. gambakuffuJuly 13, 2010

    eti ni kweli anko mithupu unatumia whiski pori (gongo)?..ha ha ha u made my day wadauz

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 13, 2010

    nampenda MADIBA sana uwiiiiiiiii

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 13, 2010

    vidole vina mfupa wewe ankal,huu uongo mwingine sasa

    hahahahaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...