
ANGALIZO: samagani wadau, vidole viliteleza,
awali kikosi kazi cha Globu ya Jamii Kiliandika 1-1.
samahani na poleni kwa usumbufu. vidole havina mfupa.....
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Spain ilishinda 1-1 unatuchukoza ama ndio umepoteza umakini wako misupuuu?
ReplyDelete""SPAIN ILISHINDA 1-1 KA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA""
ReplyDeleteWaandishi wa nyumbani kuweni makini na mnachokiandika!! huu upuuzi haumpendezi mtu yeyote!
sentensi mboovu, habari si za kweli, tutafika kweli?
SPAIN ilishinda goli moja tuh!
"SPAIN ILISHINDA 1-1 KA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA"...........kumbe ukishinda 1-1 unatwaa ushindi???...hii kali
ReplyDeleteduh michuzi sijui mechi wewe uliangalia wapi 1-1 matokeo hayo uliyaona wapi? na toka lini timu huhisabika imeshinda kama matokeo ni 1-1 au nawe umekuwa kama magazeti ya USA walipotangaza kuwa wameshinda 1-1 walipocheza na england?
ReplyDeleteMbona hii habari siielewi eti Spain ilishinda 1-1 sasa kama ilikuwa droo mbona wao wachukue kombe?. Jamani hebu kueni makini mnapopost habari hapa. Hii blog inasomwa na watu wengi unafikiri wanafikiriaje??Wanaona Blog ya visibo wasiokuwa makini na habari wanazoziandika.Kaka michuzi hata usiponitoa ujumbe utakuwa umeusoma.Thnx.
ReplyDeleteAnkal bila shaka ulikuwa unamaanisha 1-0.
ReplyDeleteuncle punguza gongo !!gongo na kazi hazi mix !1
ReplyDeleteUsijali tunashukuru kwa kuligundua hilo kua vidole havina MFUPA!!!!!! Ila next time hapana Fanza Uploading wkati SINZIA!!!!!! Kusdinda 1-1 Ulishaona wapi,? Mimi Hapana Ona Tangu Nasaliwa!!!!!!!
ReplyDeleteeti ni kweli anko mithupu unatumia whiski pori (gongo)?..ha ha ha u made my day wadauz
ReplyDeletenampenda MADIBA sana uwiiiiiiiii
ReplyDeletevidole vina mfupa wewe ankal,huu uongo mwingine sasa
ReplyDeletehahahahaaa