Moto uliozuka katika duka moja lililopo eneo maarufu la biashara mjini Zanzibar, Darajani, umesababisha duka hilo na mgahawa uliokuwa pembeni yake kuteketea.Maduka matano yaliyokuwa jirani pia yaliathirika na moto huo, ila juhudi za wenye maduka za kuokoa mali zilifanikiwa kuepusha hasara zaidi. Kikosi cha zima moto kiliwasili na kuufanikiwa kuuzima moto huo. Picha na Dk. Boha/Coconut FM


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...