Home
Unlabelled
mafuta ya dezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli hali ngumu !! At all that mnaenda kuwapigia walewale kura !!hapo mi ndo siwaelewi watanzania !!
ReplyDeletekaka angalia wasikucharaze vibao na kikamera chako!! watu wana njaa zao wewe una watoa toa kwenye kamera
ReplyDeleteinasikitisha nadhani hawaelewi hatari iloyowopo hapo incase of fire
ReplyDeleteYale Yaleeeeee...halafu atatokea mvuta sigara hapo wote wanalipuka....jamani waonyeni hao watu....hicho ni kifo....vitu vya dezo vina madhara yake..
ReplyDeleteHII NDO MAANA MIMI NATAKA KUHAMA BONGO KULUDI MALEKANI YA WOLSTRITI. WATU HAWANA AKILI VILE, SASA HUU NDIO UPUUZI GANI?? NDUGU ZANGU WASUBILI TU HAYO MAFUTA YALIPUKE NDO WATASHIKA ADABU. MIMI NITAANZA KUANDIKA MA NONDOZZ KALI KALI ILI HAWA WATU WAKOME. AISEE
ReplyDeleteJamani sasa hayo mafuta kwenye vikopo vya Uhai wanakwenda kuuza?? Ama kweli watu wanaishi chini ya dola moja kwa siku!!
ReplyDeleteJamani wanasafisha "Oil spill" hao, mbona wale wa Gulf Coast USA hamuwaandami?
ReplyDeleteKAKA MICHUZI HUYO COACH MPIYA WA TAIFA STARZ UPO WAPI?? AU NDO BILA BILA
ReplyDeleteMeli inachafua mazingira hamna anayewajibishwa tunabakia kuwaandama wananchi masikini.Kampuni inayohusika na na hiyo spill iwajibike wakati wa kuchekeana umeisha!Tanzania wake up!
ReplyDeleteYule jamaa mwenye kofia si askari wa security guard?? Na yeye anachota mafuta ya bure tena kwenye chupa ya uhai ya nusu litre?? Halafu atayauza kwa Tshs. 500/= kwa wenye daladala!! Kweli bongo tambarare. Kwa wewe anony hapo juu unaposema bado mnawachagua, kwa hiyo serikali ndiyo iliwaambia waende kuchota mafuta?? Hata kama wasipowachagua hao walio madarakani, matatizo yetu ya Africa ni mengi. Lakini pia watu hawafanyi kazi. Wanabaki kulalamika tu. Je serikali ifanye nini sasa?? Vijana wako mitaani tu wakati ardhi kibao huko vijijini. Uzalishaji umeshuka kwa asilimia kubwa sana kwa sababu watu hawafanyi kazi. Chukulia mfano Zambia, waliacha kuichagua serikali iliyokuwa madarakani hali ndiyo mabaya zaidi kuliko pale awali. Kenya waliinyima kura serikali iliyokuwa madarakani, je hali ikoje? Malawi?? na nchi nyingi tu za Africa. Mchawi sio serikali iliyo madarakani bali ni sisi wenyewe. Ni wavivu na tunabakia kulalamika tu!! Unalalamikia serikali wakati kila siku unazurura tu. Jamani tuzalisheni mali ili uchumi wetu uongezeke!!
ReplyDeleteMdau
Nishati kweli nishai, afande kaacha lindo aisee!
ReplyDeleteMaisha Bora kwa kila mtanzania
ReplyDeleteUnajua viti kama hivyo vikionekana inashauriwa kuwaarifu wana usalama, na kweli ni wanausalama watahakikisha usalam unakuwepo
ReplyDeleteHAKUNA BWANA NI SERIKALI YETU NZEMBE!! KWANI INASHINDWA KURUDISHA VIJANA WAKALIME? IPITISHE NGUVU KAZI, ASIYE NA KAZI HATAKIWI MJINI, AU HAPO HAPO MJINI SERIKALI IWAPE VIJANA KAZI, FUFUA VIWANDA, HATA UPANDAJI MITI NA MAUA, SIO MPAKA KUWE NA MIKUTANO YA KIMATAIFA NDIO KUONEKANE MITI JAMANI??? VIJANA WAPAMBE MJI, FUKIA MASHIMO, SAFISHA MITARO, PAKA RANGI MAJENGO YA WASIOJIWEZA, N.K, NA WAKILIPWA VIZURI WATAFANYA KAZI YOYOTE MJINI HAPO.
ReplyDeleteUchafuzi kama huo ungetokea marekani, hiyo kampuni lazima ingefilisiwa, na waziri anayehusika na usalama wa vyombo vya majini kufukuzwa! Kwetu, issue ni kuchota mafuta kwa ajili ya kuwashia vibatari!
ReplyDeleteTusidanganyane. Hata ukiita walinda usalama kwenye tukio kama hilo nao wanaweza wakachota mafuta baada ya kuzuia watu kusogea katika enelo la tukio. Kuishi chini ya dola 1 sio mchezo. Kikwetu tunasema hata ukilala still "kutakucha na kuchwa"
ReplyDelete