Baadhi ya wagombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kinondoni wakiingia katika chumba cha mkutano kwa ajili ya kujitambulisha kwa wanachama wa tawi la Kinondoni Shamba jijini Dar
leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2010

    Mbunge mshahara Tsh12, profesa mlimani mshahara milioni Tsh1.

    Kweli Bongo Tambarare.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2010

    mambo yameiva. mdau hujakosea kila mtu anakimbilia ubunge ndio kwenye mshahara mnono pamoja na kupata hadhi kwa wengine. lakini safari ni ndefu mpaka kuweza kufikia huko. kina shyrose kila siku ya mungu yuko katika michuzi.mwamvita makamba nae kuna siku nae atajitosa tu. hebu tujiulize wimbi hili sababu yake ni nini? nadhani ni kukosekana kwa ajira za uhakika. ubungeni unapata mshahara mkubwa huku ukiwa umekaaa hata usiseme kitu. utaitwa mheshimiwa mpaka miaka yako mitano iishe. wakati umefika wa kuweka vigezo vya kugombea ubunge. utamuona mtu kama mohamed dewji anataka nini bungeni pamoja na wafanya biashara wengine. vitendo vya rushwa vitakithiri kwani hakuna uwiano katika kuchaguliwa na hivyo fedha kuwa ni kigezo cha kupata ubunge.
    haya kuwajengea wabunge ofisi ambayo inagharimu milioni 170 nalo ni jambo halieleweki. kuna haja gani ya kutumia fedha nyingi kama hizo kwa ofisi wakati milioni 50-60 tunaweza tukajenga ofisi nzuri. kisha tunasema eti tanzania masikini. tuanze kufikiri kiuchumi na si kisiasa zaidi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2010

    Mtanzania yeyote anayeitwa mwalimu hana thamani. Labda thamani ajitafutie mwenyewe. Wabunge hujipendelea sana kwa kuwa wako jikoni. Hawakumbuki walio shambani. Jmani uchoyo huoooooo! Kazi huwa haigombaniwi. ni ulaji ndio hugombaniwa. Watu siku hizi hata aibu hawana. wanagombea kula bila kufanya kazi..

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2010

    Wabongo bwana!
    Hivi kwa nini hao watu kumi wasielewane wakamsimamisha mgombea mmoja kwa sharti la kugawana mshahara na marupurupu mengine kama akishinda ili waliobaki wakafanye shughuli za maendeleo?



    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  5. gambakuffuJuly 27, 2010

    Mwakalebela wa TFF ameacha kazi ili aingie rasmi kwenye uwanja wa siasa, Vipi dada angu Shy-rose nawe umeacha kazi NMB na kuingia kwenye siasa au unapiga 2alternatives in 1...naomba nifahamishwe km inaruhusiwa kuwepo mgongano wa kimaslahi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2010

    Mimi hoja yangu ni kwamba Mawaziri wasiwe wabunge wachague kati ya Uwaziri na Ubunge kwishne.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2010

    NDIO MAANA NIKASEMA SERIKALI YETU NZEMBE JAMA!!! NA MATATIZO YATAISHA WAZALENDO TUKIAMUA YAISHE! LA ITAKUWA NI HALI DUNI TO THE END, OFISI INAJENGWA KWA MILIONI 170 WAKATI MAMA MJAMZITO ANALALA CHINI, MPAKA LEO ANADAIWA PAMBA, GLOVES, N.K AKIWA KWENYE UCHUNGU!! KWELI? MACHOZI YANANITOKA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2010

    ningependa kumshauri dada Hsyrose akachukue na form ya viti maalum in case akikosa huku pasi japo kule apate nina uhakika this time she will make it kwenye viti maalum Knondoni panaonekana pagumu kidogo kwake. hilo linawezekana kabisa kwani mama sophia simba aliposhindwa na Zungu ilala tayari alikuwa keshachukua form ya viti maalum wanawake na kule ndiko aliobahatika. so shy huu ni wakati wako na sisi tunakuhitaji kaka michuzi nakuomba nifikishie salamu zangu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 27, 2010

    Chonde chonde wabongo, tujipange JK ashinde urais lakini wabunge wa upinzani walingane na wa chama tawala,kisha litafutwe jimbo ambalo litakiuka taratibu za uchaguzi matekeo yatenguliwe uchaguzi urudiwe Dr. Slaa agombee, arudi mjengoni yaani mjengo utakuwa mtamu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...