Dk. Narriman Jidawi akionesha chaza na lulu kwenye banda la maonesho la Chuo Kikuu cha University of Dar es salaam ambapo anakupa undani wa shughuli za uvuvi wa chaza, utengenezaji wa urembo kwa kutumia lulu pamoja na mwani ikiwa ni sehemu za juhudi za kuendeleza wananchi wa Zanzibar katika biashara ya maliasili za baharini
Dk. Jidawi akionesha mwani katika banda hilo la UDSM
namna ya kutengeneza urembo kwa chaza na lulu
sabuni zinazaozalishwa kwa kutumia mwani



Those real pearls are very expensive...mali asili tunayo hatujui kumarket tu.. Utajiri wetu bwata bwata.
ReplyDeleteHongera sana Dr. Jidawi. Tumewasiliana kwa email mara nyingi nilikuwa na picha tofauti kabisa kichwani. God bless you so much na endeleza jitihada za kuhakikisha waTanzania visiwani aka waZanzibari wana faidi rasilimali zao.
ReplyDeleteMdau
This is what we need...this is the way forward...initiative! Wa-TZ tuanze kuchukua initiative sisi watu wenyewe kwa sababu duniani kote maendeleo yanaletwa na watu; asasi na taasisi kazi zake ni kuwawezesha watu. Naomba tu niseme kuwa katika rasilimali zote za Tanzania yetu RASILIMALI KUBWA KULIKO ZOTE NI ARDHI. Wenzetu wanauana kugombania ardhi sisi tuna ardhi inakaa bure kwa ajili ya uvivu, wivu, ulevi na ukosefu wa moyo na akili ya kujituma. Kazi kungoja kila kitu tufanyiwe tu. TUAMKE JAMANI!!!!!
ReplyDeleteDr mwenyewe ndio lulu kubwa.
ReplyDeletei want the liwa soap ASAP, contact please.
ReplyDeleteankal, kwenye picha ya dr jidawi kuna utata. "chuo kikuu cha university of dar es salaam" ulikua una haraka ama umeteleza ukatumia tafsiri "sisisi"?
ReplyDelete