Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha United Graduate Collee and Seminary cha Marekani, Profesa, Donella Pitzl, akimtunuku nondozzzz Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God (TAG), Mh., Dk. Getrude Rwakatare, ya Uongozi wa kimataifa katika hafla iliyofanyika kwenye kanisa hilo lililop Mikocheni jijini Dar leo
Mh., Dk Rwakatare akifurahia nondozzz zake Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha United Graduate Collee and Seminary cha Marekani, Profesa Donella Pitzl, baada ya kumkabidhi cheti Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God (TAG), Mh. Dk. Getrude Rwakatare leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    Hongera mama kwa kula nondozz, God bless

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2010

    Hii sijaisoma mwanawane, alikuwa anasomea au ndo nondo za Heshima hizi???????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2010

    mama mungu azidi kukubariki,hapo ndiyo tunaapona miujiza ya mungu!huyu mama yuko determined sana na kwasbb anamshirikisha mungu kwenye mambo yake ndiyo maana anafanikiwa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2010

    aleluya mama uzidi kubarikiwa kila iitwapo leo...

    ila hii kaisomea au??fafanueni nyie mnaoleta hizi habari jamani sio kutuweka watu tuzushe maswali

    nyie waandishi wa wapi nyie?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2010

    michuzi hizi ndo distance learning?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2010

    unaweza ole na watu wa kule kule na wewe ukawa na tabia za kule kule .... kupenda penda sifa sasa matokeo yake ndo haya nondoz za kupeana kanisani.HOngera lakni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...