mdau abdallah ulenga akisaini kitabu kabla ya
kuchukua fomu kuwania ubunge jimbo la Mkuranga
abdallah ulenga akikabidhiwa fumo hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    HIVI BW.MICHUZI WAGOMBEA WA VYA VYAMA VYENGINE HAWACHUKUI AU KUREJESHA FOMU AU TZ KUNA MFUMO WA CHAMA KIMOJA TU AU NA WW NI THITHIEM BANIA HT HII COMMENT...

    ReplyDelete
  2. Ally SwalehJuly 20, 2010

    Hongera sana Kaka yetu Dullah tupo pamoja

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2010

    Kugpombea ndio nini? Fanyeni masahihisho kabla ya kutundika!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2010

    Na kweli!

    Neno "fumo" ndio nini?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    Yap yap Ulega tupo nyuma yako kila la kheri siisapoti ssm lakini nakufurahia umuondoe Adam na jeuri yake hana huruma huyu kama babayake kazi kujificha kwene mgongo wa dini tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2010

    Ukipata ubunge ucsahau tatizo le2 la POPOBAWA maana huwa wanaanzia huku MKURANGA.... tehetehetehe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...