Mdau wa milioni tisa wa Globu ya Jamii ananukia,
kwa mujibu wa tarakimu zilizo nchani kabisa chini kulia mwa globu hii.
Juhudi zinafanyika kutafuta zawadi kwa atayebahatika kuwa mdau wa milioni 9.Tutazidi kufahamishana muda utapozidi kukaribia.
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2010

    Michuzi wewe sio kabisa. Ulituahidi zawadi za t shirt, lakini holla .
    sasa hivi unatoa ahadi nyingine wakati ile ya mwanzo hukuitoa.


    Acha bwana haya mambo kama huwezi. Bora utafute mfadhiri kuliko ujifadhiri wewe.... zawadi mimi binafsi sijaipata yangu. na hakuna informations zozote za kwa nini haikunifikia, je hukutuma? au mafisadi kila mahala ilipotelea njiani.

    na kama ndio hivyo, basi hao wengine waliopata mbona hakuna habari zozote zinazoonesha kuwa wamepata ?
    Zawadi zetu za T shirt ya blog ya jamii mimi binafsi sitaki tena, ishakuwa longolongo.
    Tshirt ziko nyingi, sema niliitaka hiyo ya blog ya jamii kama mshindi halali wa milioni 8 , na si vinginevyo.

    Hii kweli imekula kwetu .
    wakatabahu .

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2010

    Mmm.... Imeshafika 9 million.... Iko wapi Zawadi...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2010

    Sasa mbona kama naona mdau wa milioni 9 keshafika na kupitiliza? Au sijui kusoma namba?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...