Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2010

    kwa ushauri wangu wa bure kabisa,ni bora muwatafute cuf mkaemuongee mfanye maamuziya busara.kuingia kwa dr slaa na pro lipumba ni kujimaliza kisasa wapinzani,msijribu kabisa,ni bora dr slaa asimamie ubunge.maana hamtaka kaa mshinde urais kam cuf na chadema unawagombea,cuf kwa mikoa kama dar,tanga,bukoba,mwanza,mtwara na lindi mpaka dodoma wananguvu sana,na nyie chadema mana nguvu maeneo ya tarime,kigoma,karatu,moshi,so hamuwezi kuweka karata zenu mbalimbali mbele ya ccm.ccm watawalizakirahisi sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2010

    sisi cuf tulikuwa kila siku tunawaambia ccm wanatusingizia kwa maslahi yao kita cuf chama cha kiislam,wakati ul wa mkapa,baadhi ya chadema mkawa unaunga hiyo hoja,sasa ccm wamewageuzia kibao,na wanawatumia kanisa katoliki kuwa ndo walomtuma dr slaa,sasa ndo mtakuja ukweli ni upi,Cuf ni chama imara kilichochafuliwa ili kipotee,lakini bado kipo imara,sasa chadema chungeni sana,maana mshaanza kuwaingiza mamluki kama ccj na mr 2,watu wenye bifu zao msiwaweke,watawaulia chama.someni alama za nyakati,sio kushangilia tu watu kujiunga na chama

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2010

    Nice to read habari kuhusu wapinzani kwenye blogu. Dont remember lasttime I saw opposion videos here. Umehama chama?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2010

    Nice to read habari kuhusu wapinzani kwenye blogu. Dont remember lasttime I saw opposion videos here. Umehama chama?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2010

    Mkutano kama huu wa kumtangaza mgongea Urais wa chama kwa nini Chadema wameenda kuufanyia chini ya mwembe.!!!

    Sauti za kunguru kibao..agggrrr

    Hawa Chadema wako serious kweli??!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2010

    Duuh decision making ya CHADEMA ni ovyoo!

    ReplyDelete
  7. Watu wengine hufikiria kwa matumbo badala ya kufikiria kwa ubongo! Kufanya kikao kwenye mazingira duni kunaendana na hali hali ya maisha mtanzania leo. Hakika CHADEMA kitaondoa umaskini wa watanzania, eti wanafanya mkutano kwenye maziringa mabya! nyie ndiyo wale mnaojikweza kwa kwenda kutesa Movenpick wakati uwezo wako ni kwenda kwa mama ntilie.

    Chadema ni chama chenye kuendana na mazingira halisi ya mtanzania wa leo. Hivyo acheni kubweteka, hiki si cha cha mabepari.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2010

    nilijiuliza hili swali,ivi dr slaa katoka katika ubunge tena?

    na wanainchi wa karatu wamegoma kuruhusu hili

    ReplyDelete
  9. Magwanda waliyovaa na hiyo bendera waliyoweka ukutani nyuma vinaonesha havijafuliwa wiki nzima halafu ukuta umechokaa. Hivi hapo walipokaa ni ofisini au sokoni mbona mazingira machafu sana? Halafu ndio wanataka Urais...kama wewe Mbowe ulishindwa kwa hedikopta huyu Slaa atatumia ungo?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2010

    Mbona swala la udini hawajajibu cha kueleweka. Huyu Slaa ni Padri muasi na anataka kuchafua Kanisa kwa masilahi yake binafsi ya familia yake..viongozi wa makanisa tuwe makini na hiki chama hakina nia njema na ukristo bali wanataka kuturtumia kama daraja. Ni kama vile CUF walivyowatumia waislamu kujinufaisha binafsi na hawa wanataka watutumie wakristo tumeshtukia dili..HATUDANGANYIIIIKI!

    Alfonce B. Titus
    Kimara Temboni

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 22, 2010

    Hivi vyama magumashi vya ujanjaujanja vinachekesha sana, Hivi CHADEMA na utajiri wa Mbowe na Dr. Slaa kelele zote anazopiga Bungeni ofisi yao ndio chafu hivi? Cheo cha Urais ni cheo nyeti kinaenda kutangaziwa uchochoroni nzi kibao na kunguru wananyea waandishi wa habari. Hebu watueleze hela zote za ruzuku mabilioni wanayopat kwa kuwa na wabunge wamepeleka wapi hadi kushindwa kuwa na conference room au ofisi yenye hadhi. Kama helaza ruzuku wameshindwa kujenga ofisi je wakipewa hela za barabara watakaposhika nchi tutapona kweli?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 22, 2010

    Huo ni mkutano na waandishi wa habari na sio mkutano wa Kamati kuu.Hapo ni kama tu Idara ya Habari(MAELEZO).Na ndio maana Dr.Slaa hayupo.

    Mkutano wa kamati kuu ulifanyika juzi na hapo jana huo ni mkutano na waandishi wa Habari.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 23, 2010

    upuuuzi mtupu! WANAZIDI KUIPANDISHA CHAT CCM! KIKWETE KANJAGA TWENDE BABAKE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...