Home
Unlabelled
mh. mbowe akimtangaza dk. slaa kuwa mgombea urais kupitia CHADEMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JAMANI ANGALIA HAPO MKUTANO UNAPOFANYIKA HICHO NI CHAMA KIKUBWA KINACHOTAKA KUCHUKUWA DOLA, INAONYESHA JINSI GANI ORGANISATION YAO IKO NYUMA, YOU MUST BE JOKING, ARE KIDDING, YOU CA NOT BE SERIOUS. MBOWE AMEONA HAWEZI KUSHINDA ANAPOTEZA PESA YAKE NA ANAKOSA PESA ZA UUMA UTAMSIKIA ANAGOMBEA UBUNGE AMBAO ANA MATUMAINI YA KUSHINDA ILI NAYE ALE NCHI KULIKO KUGOMBEA URAIS AMBAO ANAJUWA HAWEZI KUSHINDA
ReplyDeleteETI MBOWE ANASEMA KUWA "TUNAKWENDA KUSHINDA URAISI"......DANGANYA TOTO
ReplyDeleteNDUGU ZANGU WATANZANIA WASIO WAKATOLIKI MSICHAGUE MGOMBEA URAISI WA CHADEMA NA MASRAHI BINAFSI NA KANISA KATOLIKI.ALIWAHI KUWA PADRI NA KITIBU MKUU WA BARAZA LA MAASKOFU (TEC. CHAGUENI WAGOMBEA KUTOKA VYAMA VINGINE MAPAK SASA NI TLP, CCM NA CUF
ReplyDeleteUJUMBE MAALUMU KWA VIJANA:
ReplyDeletehttp://vijana.fm/2010/07/21/vijana-wa-tanzania-tuamke/
upinzani wa tz ni kama kichwa cha mwendawazimu,mnajua wazi karatu inarudi ccm,maana dr slaa mwaka 2005 aliizidi ccm kwa asilimia chache mno hadi ccm wakafungua kesi mahakamani kupinga.kitu cha pili huwezi kuongeza wabunge kwa kumuweka slaa kugombea urai,wananchi wanataka sera za wabunge wenyewe,hapo naona mnazidi kupoteza viti badala ya kuzidisha.ukiangalia moshi mjini ccm walivyojipanga kuna kila sababu ya ccm kuchukua lile jimbo iwapo watavunja makundi.chadema mmechesha,pro baregu alifaa ndo agombanie urais ,sio slaa
ReplyDeletehivi wapinzani mmelogwa au,haiwezekani kuweka watu wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye siasa za tz kugombea kwa upinzani,pro lipumba na dr slaa kila mtu kusimama na chama chake ni ulimbukeni wa hali ya juu.hapo umashazigawa kura za upinzani,na kumpitisha kikwete kirais sana.si bure makamba kusema wapinzani ni kama mapaka
ReplyDeletembowe wacha uhuni wewe,umendanganya slaa agombee urais ili na wewe ukapate ulaji bungeni,sema ukweli
ReplyDeletenilivyoona tu yule mdosi rafik wa rostam kawachangia chadema nikajuwa jamaa wamenunuliwa,slaa huyo anaondolewa bungeni kijanja janja.haingii akilini jimbo ngumu kama karatu unaenda kuliacha kirahisi hivi,ccm walilirudisha sahauni kulipata tena.
ReplyDeleteSaa ya ukombozi imewadia, kilio cha watanzania kimesikilizwa na mungu aliyeko juu. Nimejawa na hofu kubwa kuona kila dalili za siasa chafu ndani ya chama tawala. Leo hii Kikwete na mwanaye, Makamba na mwanaye. Tanaelekea wapi Tanzania? nchi yetu si ya utawala wa kifalme, hata kidogo. Wala si Tanzania ya kutawaliwa na watoto wa matajiri, hata kidogo. Tunahitaji uongozi makini wenye kuweka maslahi ya Taifa mbele. Kwa mtizamo wangu Dr Slaa ndiyo stahili yetu.
ReplyDeletemwenyekiti mbona unangata maneno,ndo tatizo la form 4 liver kuwa front line.muachie dogo zito hapo amwage sera.
ReplyDeleteJK huyoo ikulu
ReplyDeleteKaratu hiyo inarudi ccm
masikini slaa.nani kakudanganya,na kwa wale wanaodhani urais wa tz ni kuweka comment kwa michuzi au jamii forum poleni sana,urais ni zaidi mnavyodhani,ukitaka kujua waulizeni cuf,especially maalim seif sharif hamad,ambaye 1995 alipata kura za asilimia 49 na salmin akapata 51.jamaa alitaka kuvunja microphone baada ya matokea.ohhh
hivi chadema kama ofisi tuu imewashinda kuiweka kwenye mazingira mazuri mtaweza kuiongoza nchi kweli,hawa jamaa hawako serious kabisa,au ndo kila mtu anarudisha peasa yote kijijini.
ReplyDeleteIngawa siasa ni chagua mwenyewe chama caho...uchaguzi wa Dr. Slaa kuwa mgombea u-Rais Tanzania kwa tikiti ya CHADEMA, itakuwa very interesting...si nasikia kuwa mkewe ni mwenyekiti wa CCM hapo Karatu?
ReplyDeleteNi kweli Karatu inarudi CCM. Hili limejidhihirishwa na Mbowe mwenyewe akimkariri baba wa taifa na kuishia kusema "jimbo la karatu ni ngome ya chama cha mapinduzi" (hapa Zito akimgeukia kwa jicho kali). Lakini ukweli amesema, na ndiyo maana yeye mwenyewe ameacha kugombea uraisi anakimbilia Ubunge. Sasa Dr. Slaaa makali yake yote yatazimika.
ReplyDeleteBADALA YA KUSHAWISHI WANANCHI KUTOMCHAGUA DK. KWA NINI USISHAWISHI SERIKALI KUWA NA SHERIA YA KUKOMESHA MCHEZO MCHAFU WA WADINI WA DINI HIZO?
ReplyDeleteKATIBA YETU HAINA KIFUNGU CHA KUWASAKA NA KUWASHUGHULIKIA WADINI.
Atleast now i can VOTE
ReplyDeleteKwa mchango wa Dr.Slaa katika Taifa hili kama asiposhinda urais(he has my vote!) naahidi sitopiga kura milele kwani sitaki kuwa Msaliti wa Wazalendo.
ReplyDeleteNI HUZUNI KUBWA KAMA KWELI DK SLAA AMEANDALIWA MPANGO WA KUMTOA BUNGENI KWA KIPINDI CHA 2010-2015. NI DHAHIRI KABISA MBOWE ANATAKA KUTEMBELEA NYOTA YA DR SLAA KWA KUAMINI KUWA ENDAPO WOTE WATAKUWA WABUNGE BASI NA CHADEMA KUWA NA WABUNGE WA KUONGOZA UPINZANI, WABUNGE WENGI WA UPINZANI WANGEPENDA KUONGOZWA NA DR SLAA. MBOWE BILA AIBU WALA SONI ANAMPOTEZA MPIGANAJI ILI AJIIMARISHE BUNGENI KWA AJILI URAIS WA 2015. ZITTO NA WENGINE KULIKONI HAPO CHADEMA?????
ReplyDeleteUS Blogger)
ReplyDeleteCHADEMA ndio chama. Sasa nakubali kurudi Tanzania niwe mgombea mwenza. CCM uozo mtupu
Baba yangu alikuwa mwana CCM wa kufa mtu lakini inavyozidi kuwa mbaya kwa raia wa kawaida, nimeamua niingie CHADEMA ili kutetea maslahi ya umma
Mimi ni msomi mkubwa sana, na kuifanyia kazi serikali ya CHADEMA siyo kwa malipo bali kwa kujitolea. Mshahara wangu ni $5,000,000 dola mllioni 5 kwa mwaka kwa hiyo hakuna nichacotafuta kwenye ufisadi
Tanzania wanarithishwa wakina January na Ridhiwani kwa hiyo inabidi tuwahi mapema ili tulikomboe nchi yetu kutoka kwa hawa manyangau. Kuna mengine ambayo ni ma mbwa koko toka wolstrit yaliyoishiwa sera yamebakia kuandika maatiko tu
sisi wana CHADEMA tuko tayari kumng'oa JK ili tulete nguvu mpya na hari mpya, au mnasemaji? Wasomi wote tulio ughaibuni tunarudi kulishafisha nchi kutoka kwenye ufisadi. Degree za oxford zitaonekana kiutendaji siyo hiyo mijinga ya UDSM
Dr. US Blogger
Economics Department
Oxford University Alumni
BARAZA RA MAWAZIRI RA 2010
ReplyDeleteSASA DR. SRAA WA MUZUMBE SEMINALI NAYE ATAKUWA IKURU, AISEE MUZUMBE INAKWENDA JUU SANA. THIS IS DEMOKLASI OF TANZANIA, AND ALL JINIAS IS GONE TO IKURU OF TANZANIA OF STATE HOUSI. SO IF SLAA WAS ZE PREZIDENT OF TANZANIA AND ALL KORUPTI WAS DEAD, AND TANZANIA ECONOMY WILL BE GUD, AND ZITTO KABWE IS THE PRIME-MINISTER WE BECOMES THE HEAD OF TAKUKURU AND GET LOWASSANA AND AZZIZI ALI TO PRIZON INTO KEKO FOR SILING ZE ECONOMICS OF TANZANIA, AND GOES BACK TO MUZUMBE TO GET HIS DIGLII OF ECONOMY TO BE JINIAS AS HASHEEM THABEET OF D-LIGI OF MEMPHIS OF TENESSESSE WHO IS COMING TO INVEST IN TANZNAIA AS BILLIOANIRE ANDA 24. HIS HIGHNESS HASHEEM IS GOES TO LEVEL 8 AND PATI MZUKA AND HIS HOLINESS NABII YOHANNA MASHAKA IS BECOMING THE ECONIMS TREASHA OF TANZANIA AND MICHUZI MISTER OF PERMANET SEKRETARI OF HABARI MAELEKEZO OF AZIKIWE STRIT. AND STIVINI KANUMBA IS BECOMES THE STERING OF TANZANIA FILMING AND MOVIE. SO I WISH DR. SLAA A HAPPY ELECTION DAY TO DE PRESIDENT OF TZ. SO I SALUTE U ALL OF TANZANIA
+++++++++++++++++++++=+++
BARUA YA WA WAZI KWA RAIS MTARAJIWA 2010
ReplyDeleteDR. HAYATI, FIELD MASHOL, HE. HON: CAN:MAJOR. GENERAL . DR. PRO. ADM.CAPTAIN. JAKAYA MRISHO KIKWETE
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kidumu Chama Cha Mapinduzi,
MHESHIMIWA RAIS MTARAJIWA 2010, NAOMBA MSAMAHA KWA KUPOTEA BAADA YA KUKUMBWA NA ECONOMIC CRISIS YA BONGO.ILA KWA VILE CHAMA CHETU TUKUFU C…C…M KIMEFUFUKA NA TUNAKWENDA KWENYE UCHAGUZI WA KUMRUDISHA BABA WA TAIFA DR. JK LAZIMA NA MIMI NIPIGE KAMPENI KEM KEMU
SIKUWA NA HELA ZA KUNIWEZESHA KWENDA KWENYE INTERNET CAFÉ, KWA HIYO KAMA KUNA UWEZO NAOMBA UNITUMIE DOLA 50 ILI TUENDELEZE LIBENE LA KUENDELEZA TAIFA NA KUPINGA UGISADI. ILA MDHAMINI WANGU ROSITAMU AZIZI AMENIKUMBUKA
KWA MAANA HIYO SIKUWEZA KUFIKA KWENYE INTERNETI NA KUTUMIA DAKIKA ZANGU 30, LAKINI KWA MIBARAKA YA MOLA, NASHUKURU NIMERUDI ULINGONI KUUNGANA NA WADAU DUNIANI KOTE.
MIMI KAMA MKEREKETWA NA MPINGA UFISADI NAMBA WANI, NAPENDA SANA KUTOA PONGEZI ZANGU ZA DHATI, KWA KAZI NZURI INAYOFANYA NA VIJANA WETU WAKIONGOZWA NA MWANAHRAKATI GENIUS, RAIS MTAJARIWA RIDHIWANI KIKWETE KUPELEKA FOMU KILA MKOA NA WAZIRI MUKUU DR. WILDBOD SLAA WA KULE KARATU NA MACHO YA MUNENE JANUARY MAKAMBA AMBAYE NI MUGOMBEA WA URAIS KULE TANGA
TUNAWASHUKURU KWA KUWAPA CHANGAMOTO VIJANA WENZETU ILI KUENDELEZA VITA DHIDI YA UFISADI. MKUU UTAKAPOUTWAA MADARAKA, KITU CHA KWANZA NI KUWAKAMATA WASOMI FEKI KAMA NALITOLELA NA KUWATIA NDANI, KWA SABABU WANAWADHALAISHA WASOMI WA KITANZANIA KWA KUSHABIKIA UFISADI NA TABIA YA UKANYABOYA AU KUFANYA VITU HEWA KWA MANUFAA BINAFSI
PILI NAKUOMBA UWATAFUTE VIJANA KAMA MICHUZI, VIJANA WANAOJITUMA AMBAO LAZIMA MUWAPE NAFASI KATIKA SERIKALI YETU YA 2015. LICHA YA KUSAKAMWA NA WAOSHA VINYWA KUTOKANA NA LUGHA YAO, WAO HAWAKUJALI NA KUAMUA KUENDELEA KUITUMIKIA NCHI YAO
TUNAOMBA PIA MUWALETEE WABEBA BOXI WENYE VITI WA CCM LONDON ILI TUWAONYESHE DUNIA NZIMA JINSI CCM ILIVYOKUBWA. MUKIRUDI TOKA RONDONI NA NYU-YOKI YA WORI STRITI TUTAKUPOKEA PALE KIPAWA NA BENDERA SIYO HAWA WABEBA BOXI WALIOPANDIA POSTA YA ZAMANI
MHESHIMWA RAIS MTARAJIWA, TUNAKUUNGA MKONO, NA TUTAZIDI KUKUOMBEA DUA ILI MUNGU AKULINDE DHIDI YA MAADUI AMBAO PIA UMEONYESHA UNA UPENDO NAO KAMA VILE US- BLOGGER. MZEE WA PAMBA, JAKAYA MRISHO KIKWETE TUNAMPA KURA TENA, 2010 KWA MASHARTI KWAMBA LAZIMA ATUPE MIBARAKA YAKE KWA AJILI YA 2015.
MZEE MZIMA, MZEE WA BAGAMOYO, MZEE MTANASHATI, MZEE WA PAMBA, TUNAOMBA UWABARIKI WANAO. MBARIKI MASHAKA, MBARIKI, SHAYO, MBARIKI JANUARY PAMOJA NA RIDHWANI. MIMI NITAGOMBEA UKUU WA WILAYA YA YOMBO VITUKA ILI NILETE HADHI KATIKA JIJI LETU LA DARI SALAMA AMBALO LIMEZIDI KUCHAFULIWA NA MAFISADI
DR. Slaa, Mh. Mashaka, January, Dr. Shayo na Ridhwani. Kwa hiyo naomba msinisahau ifikapo 2015 HAMNA MSHABIKI MWINGINE NCHINI TANZANIA ZAIDI YANGU . MIMI NA NDUGU MAREHEMU PETER NALITOLELA, YEYE APEWE UWALIMU MKUU ILI APATE MBOKO NA ADABU KWANZA . KWA MAANA BANGI ZA MUZUMBE LAZIMA ZIPUNGUE KWANZA KABLA YA KUPEWA HATA UTARISHI
HAO WAHESHIMIWA HAPO JUU WAKICHUKUA MDARAKA, TUTAWAWEKA HAO MAFISADI HADHARANI ILI NAO WAPIGWE MBOKO……..WOTE HAKUNA ATAKAYEPONA
ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
ZIDUMU
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KIDUMU
KIDUMU FIRKA ZA LAIS MTARAJIWA 2010
ZIDUMU
ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU 2010
ZIDUMU
MAFISADI YOTE NAYO YACHAPWE MBOKO
YACHAPWE
CCM HOYEEEEEEEE
hOYEEEEEEEEEEEE
MKEREKETWA, YOMBO VITUKA !!!!
hii ni poa, sasa nasubiri kuona kama kikwete atakubali mdahalo; http://www.facebook.com/home.php?#!/group.php?gid=133906599978345
ReplyDelete"Jimbo la karatu ni ngome ya chama cha mapinduzi"- Mbowe. Hii anaelewa kabisa CCM ni ngoma hatari sasa hivi Karatu. Chadema hawawezi shinda. Ni bora ungejaribu Dr. Slaa na ushindwe kuliko kukubali kushindwa kabala ya kura. CCM oyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!! Kidumu chama cha Mapinduzi!!!!!!!!!
ReplyDeleteNasikitika kuona watu waliocomment hapa ni walewale wa fikira mgando. Dr Slaa has all the qualities to become a president....kwa nini ang'ang'anie ubunge?mtu anasema anakwenda kufa kisiasa!!mbona kikwete aliacha ubunge na kugombea urais na hajafa kisiasa? be realistic you people!!!!sina chama hapa nilipo ila kwa ukakamavu nasema nitamchagua dr Slaa kuwa Rais wa nchi hii...you CCM its not that simple to win this time,you have to show us what you did in the last 5yrs..i never knew Mbowe ni mtu makini kiasi hiki,amejibu vizuri sana maswali ya wanahabari ambayo mengine yalikuwa tricky and disgusting...i can't wait to see that change in october....by the way CCM are you ready to accept/acknowledge defeat?you better get prepared.
ReplyDeleteNILISEMA UMEONA SASA KAZI YA MILLIONI 100, SABODO KAMALIZA KAZI....!!!! ILI KUPUNGUZA KURA LA PROFESSA!!! HII NCHI HAINA MPIZANI WA KWELI NI NJAA TU
ReplyDeleteKILA MTU NI MSANIII
KIDUMU CHA CHAMA...............!!!!
ningependa kuona mdahalo wa JK na Dr. Slaa, jinsi JK angeelezea alichofanya miaka 5 na Dr. Slaa angeibua vya EPA,Richmond,Ticts,TRL,ATC,Kiwira etc etc.. Wafanyakazi tumepata wakumpa kura zetu
ReplyDeleteSasa nitapiga kula. Na kwa waelewa, tunajua mchango wa slaa katika maendeleo ya nchii hii. NITAKUUNGA MKONO DR. wanaojali majengo endeleeeni, wakati maisha yanazidi kuwamagumu hasa angalieni vijijini, ndo mtajua mnahitaji nini!!
ReplyDeleteSlaa hoyeeee
DR.SLAA NAKUKUBALI ILA URAIS HUWEZI KUPATA UKIZINGATIA KUNA WAPINZANI WAKO WAWILI PROF. LIPUMBA NA JK. UMEFANYA MAAMUZI MABAYA KUINGIA KWENYE URAIS, NILIDHANI INGEKUWA VEMA MKICHUKUA VITI VINGI BUNGENI, NA WEWE UKIWA MMOJAWAPO ILI KUIMARISHA UPINZANI BUNGENI. MICHANGO YAKO INAHITAIKA BUNGENI. NAONA MBOWE KAWA MJANJA ANATAKA ULAJI NAE WA UBUNGE. POLENI SANA KWA MAAMUZI HASI.
ReplyDeleteWahindi noma sana..yaani Slaa amehongwa milioni 100 amekubali kuachia ubunge hivi hivi...doh masikini acha mafisadi wapete sasa..kelele nyingi bungeni kumbe wote lao moja...SABODO...SABODO...SABODO we noma!
ReplyDeleteuchaguzi ukishapita slaa akishindwa uraisi, asubiri mbunge mmoja akifa ndo agombee hilo jimbo, maana huwa lazima wafe karibu kila mwaka, kwahiyo haina shida tutamuona slaa tu bungeni, sema anaweza akachelewa kidogo, wasiwasi wangu huyu mbowe anaweza akakosa huo ubunge itakuwa noma.kwishnei
ReplyDeleteWatu vipi mbona wanasahau kunanafasi za wabunge wa kuteuliwa.Hapa kila chama kinapewa nafasi kulingana na idadi ya wingi wa kura za uraisi Mgombea wake atakazo pata.Dr Slaa anaweza kusababisha nafasi ya wabunge wengi kwa CHADEMA kupitia fursa hii na huku yeye mwenyewe kurudi Bungeni kama Mbunge wa kuteuliwa.Hapa hakijaharibika kitu ni gemu za politics zinatembea.
ReplyDeleteWe anony wa Thu Jul 22, 09:27:00 PM
ReplyDeleteHizo nafasi ulizosema ni za wanawake tu.
HAWA WATU WANAOSEMA DR SLAA NI MTU WA KANISA KATOLIKI WANA UPEO MDOGO WA KUCHAMBUA MAMBO. KWENYE SIASA ZA TANZANIA HAKUNA DINI, NA MTU AKIFANYA KAMPENI ZA KIDINI HAWEZI SHINDA KWANI HAKUNA DINI YENYE WAPIGA KURA WAKUTOSHA KUSHINDA UCHAGUZI TANZANIA.
ReplyDeleteSASA KAMA DR SLAA NI MTU WA KATOLIKI JE KIKWETE NA BILAL WOTE NI WAISLAM TUSEME NAO NI WATU WA BAKWATA HIVI NCHI ITAENDESHWA KIISLAM? KUSEMA HIYO NI KUTOKUWA NA MAWAZO CHANYA.
WATANZANIA WANATAKIWA WACHAGUE MTU KWA UWEZO WAKE NA UMAKINI WAKE SIO KWA SABABU YA DINI, KABILA,SURA WALA CHAMA.