Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2010

    kaka Kubenea naomba tuwasiliane kwenye nefsetz@gmail.com.

    Asante
    Mdau

    ReplyDelete
  2. Udumu Kubenea kwa majibu stahili.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2010

    SI HABARI ZINAZOPENDWA NA WATU, NI HABARI SAHIHI NA ZA UKWELI SI ZINAZOPENDWA NA WATU KAMA MTAANDIKA HABARI ZINAZOPENDWA NA WATU NI CHANZO CHA KUANDIKA HABARI ZA UONGO AMBAZO SI SAHIHI

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2010

    Big UP Mr.Kubenea !!

    Tunazikubali sana articles zako, ni za ukweli za bila kumuogopa mtu.

    Kaza buti zaidi kaka.

    Mtanzania Halisi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2010

    Ndugu Kubenea mimi ninasoma sana article zako na hakuna gazeti zuri kama lako kwa nchi zima. Uzuri unatokana na uandikaji wako wa habari ambazo ni sahihi. Tunafahamu kuwa msema kweli si mpenzi wa wengi! Tunakuhitaji, Tunakuthamini, Tunajivunia kuwa na wewe, Tuna kupenda kwa ushujaa wako wa kusimamia wanyonge, tunakuamini kwa kusema yaliyo ya kweli hata kama wengine hawataki kuyasikia, Wewe ndiye mpiganaji wa kweli.

    Ninafurahi kuona team yako nzima ina andika vitu ambavyo vinatusaidia kufungua macho ktk kupambana na maisha yetu pamoja na kujua haki zetu. Tusikubali kudanganywa na WASANII WANAOJUA KUJIUZA KWA MANENO MAZURI HUKU VITENDO VYAO HAVINA CHOCHOTE. TUNAWAJUA WABAYA WA NCHI NA TATAENDLEA KUWASAKAMA. HAKI YA MTU HAIPOTEI ILA INAWEZA KUCHELEWA.

    AHSANTENI SANA MZALENDO WA KWELI AMBAYE SIYO MSANII KAMA WALIVYO WENGI TUNAO WAJUA.

    AHSANTENI SANA MTOTO WA MANDELA.

    NB: ANGALIA KILA WAKATI KUNAPOKUCHA MAISHA YAKO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...