Katibu mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Christopher Sayi (katikati) akishirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Ruth Mollel kuzindua vitabu vyenye mwongozo wa Mkakati wa Hatua za Haraka za kuhifadhi Mazingira ya Bahari ukanda wa Pwani, Maziwa, Mito na Mabwawa leo wilayani Mafia.Kulia ni mkuu wa wilaya ya Mafia
Mhifadhi mfawidhi wa Hifadhi ya Bahari Mafia Bw. George Msumi akitoa ufafanuzi kwa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Christopher Sayi (katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Ruth Mollel (kulia) kuhusu nyavu za kuvulia samaki zisizokidhi viwango zilizokamatwa kutoka kwa wavuvi haramu katika ukanda wa Pwani wa bahari ya Hindi leo wilayani Mafia wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Hatua za Haraka za kuhifadhi Mazingira ya Bahari, ukanda wa Pwani, Maziwa, mito na Mabwawa.

Katibu mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Christopher Sayi (katikati) na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Ruth Mollel (kulia) wakiziangalia nyavu za kuvulia samaki zisizokidhi viwango zilizokamatwa kutoka kwa wavuvi haramu katika ukanda wa Pwani wa bahari ya Hindi kufuatia oparesheni mbalimbali za kudhibiti uvuvi haramu wilayani Mafia. Picha na mdau Aron Msigwa wa MAELEZO




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...