MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA :
READING UK 30,31, July & 01 august2010

Mwl/ Christopher Mwakasege wa Tanzania

Pia lile kundi la UPENDO GROUP watakuwepo.
MATARAJIO
Wenye shida za kiroho, nafsi,
mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu.

Nyimbo za Injili kutoka wanamziki mbalimbali

ANWANI YA UKUMBI
Rivermead Complex Leisure Centre,
Richfield Avenue, reading
Berkshire, RG1 8EQ
Mikutano itakuwa inaanza
Ijumaa 30/07/2010 utaanza saa 8mchana (2pm)hadi saa 2 jioni(8pm).
Jumamosi na jumapili utaanza saa 4asubuhi (10am) mpaka saa 2 jioni(8pm).

MAELEZO ZAIDI:
Kwa Mawasiliano zaidi
Reading -07888841971,
Birmingham-07776358464
London 07817479845
Milton Keynes, 07787357618,
Brighton,07950324330
Southampton 07717435287 au
07944632826./ Rev, Emmanuel Chatawe

WOTE MNAKARIBISHWA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...