Afande Ismail Issa Michuzi akifurahia mnuso wa Siku ya Mashujaa usiku huu ukumbi wa Diamond Jubilee hall
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa sherehe za siku ya mashujaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Katibu Mkuu wa Chama cha Wazee waliopigana vita Kuu ya pili ya Dunia ‘Tanzania Legion’, Silvester Lubala akifafanua jambo wakati sherehe za maadhimisho ya siku ya mashujaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar

Michu brother wako anaonekana mzee wa kimiminika kwa sana. Mpaka ule muonekano wa Kimichuzi umefifia
ReplyDeleteiko siku nami baba yangu atakuwa raisi na mimi nitabahatika wazfa siajabu nikawa waziri wa mambo ya nje wadau wenzangu mniombee manake babangu anagombea uraisi sasa nawe kamichu hatutakutupa utapata uwaziri wa habari na michezo :)
ReplyDeletendimi,
waziri mtarajiwa wa mambo ya nje.
afu sie bado tuko nyuma kimaendeleo labda siku za mbeleni tutawawekea wakubwa teleprompter wawe wanasomea hapo. Haya mambo ya kushika makaratasi yashapitwa na wakati. pale ni unatakiwa tu unatoa sera zako kwa kujiamini huku unatizama huku na kule. Kamichu anaelewa sana manake mwenzetu kutwa anasafiri so kaona sana haya mambo.
ReplyDeleteDuuh Ankal kumbe nanyi mpo wengi hadi jeshini sio mchezo naomba siku moja uipange familia yako yote tuwajue.
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
wazee hapo juu beer haipandi kabisa !!lol wameshazoea pombe kali !!
ReplyDeleteSheikh Ismail Sharaba hiyo ohooooo!
ReplyDelete