TANGAZO LA MSIBA WA
BI THERESIA HILARY NKWANGA
Familia ya Mareh. ACP (Ret.) Hilary Ignas Nkwanga, inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Bi. Theresia Hilary Nkwanga Kilichotokea huko Iragua, Morogoro Ijumaa,tarehe 16 Mwezi wa Julai, Mwaka 2010 baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Maziko yalifanyika siku ya Jumatatu tarehe 19 Mwezi wa Julai, 2010 huko Iragua, Morogoro.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale duniani.
Bwana ametoa na Bwana Ametwaa,
Jina la Bwana liimidiwe.
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2010

    Pole sana ndugu yangu Charles martin Hillary Nkwanga kwa kumpoteza Mama mzazi. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
    Baba Babu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2010

    Poleni sana Charles,eddy,matisa,Nganga,Ubara,Jina,salama na wote nilowasahau Bi Thereza tutamkumbuka kwa Mengi mema. Mungu ailaze roho yake in Peace. Ondo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2010

    POLE SANA BROTHER CHARLES.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...