mtaalamu wa mambo ya saikolijia akimpa maelezo mdau aliyetembelea banda la chuo kikuu cha Univdersity of Dar es salaam leo ambalo hadi tunaenda hewani habari zimesema banda hilo limeshinda nafasi ya kwanza katika tasnia ya utafiti
Chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa University Collegeof Education MUCE), zamani Mkwawa High School
wadau wa shule kuu ya uandishi wa habari ya UDSM nao wapo
mtaalamu wa botany akielezea utafiti wa ukulima wa nyanya maeneo ya pwani ambao kasema umeonesha maendeleo mazuri na kwamba muda si mrefu wakaazi wa sehemu kama Dar, Tanga na Mtwara na sehemu zingine za pwani watakuwa na uwezo wa kulima nyanya na kuondokana na utegemezi wa zao hilo toka mikoa mingine


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...