







Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"Long Walk To Freedom" by Nelson Mandela is one of my favorite book I've ever read.
ReplyDeleteThank you Dolaman kwa kutuletea picha hizi.
Duh!hizo chupa nilidhani ni sosi za nando's.
ReplyDeleteTZ tumepoteza nafasi ya kuwa na sehemu ya kumbukumbu kwa kuipoteza na kushindwa kuitunza nyumba aliyoishi Mwalimu pale Magomeni. Nadhani kwa sasa kumbukumbu ya makazi ya Mwalimu iliyobakia ni ya Butiama ambako ndipo alipozikwa.
ReplyDeleteAnkal, hapo unaingia bure au kuna kiingilio?
Baada ya kupata uhuru Biashara ni muhimu. Siasa hailiwi na ukilazimisha kula siasa ndiyo ufisadi unapoanzia.
ReplyDeleteMichuzi, ukiweza itundike hii..
ReplyDeletehttp://vijana.fm/2010/07/17/nelson-r-mandela-46664/
Mkuu umefanya kazi nzuri sana kuzibandika picha hizi. Ahsante sana.
ReplyDeleteMalisa from BG
hivi umefika nyumba ya kumbu kumbu ya mwalimu nyerere pale magomeni ama unataka ponda bila sababu?
ReplyDeleteGod bless Hon. Nelson Mandela. Amen.
ReplyDelete''hivi umefika nyumba ya kumbu kumbu ya mwalimu nyerere pale magomeni ama unataka ponda bila sababu''.
ReplyDeleteNYUMBA GANI WEWE, WAKATI IMESHAUZWA SIKU NYINGI NA WATU WANA MPANGILIO MWINGINE NA HIYO 'SITE''? UKO NHI HII WEWE KWELI?
Good Job misupu kwa kutuletea habari ya the Great SIYABONGA MADIBA, Wish you long life Madiba
ReplyDeleteankal safi sana kula bata,na sie tuko nyuma yako lol
ReplyDeletemwanaume unatalii ww??
eneo zuri kwa utalii na kumbukumbu