Unapoongelea wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya ambao miziki yao na mashairi yao yametoa mchango mkubwa katika kuufanya muziki huo ukubalike na kupewa heshima na nafasi yake katika jamii, bila shaka huwezi kuthubutu kumweka pembeni Joseph Haule au kama anavyojulikana miongoni mwa washabiki na wadau wa muziki; Proffessor Jay, MC Shupavu, The Heavy Weight MC,Jay wa Mtulinga,Mti Mkavu, Jiizeh nk.
Hivi sasa Prof. Jay yupo nchini Marekani akiendelea na tour yake ndani ya taifa hilo ambalo hivi sasa linaongozwa na Barack Obama, Rais wa kwanza mweusi. BC ilipata nafasi ya kufanya naye mahojiano kuhusiana na ziara hiyo. Je unataka kujua atatua na kufanya shows katika miji na majimbo gani? Anasemaje kuhusu ambacho ameweza kukiona na kujifunza nchini humo mpaka hivi sasa?

Kwa majibu ya maswali hayo na mengine,
tembelea globu yetu dada ya Bongo Celebrity
bonge la ukumbi
ReplyDeletemiki miki ma
dj one two,
bongo tiii ziii.
mi sina mbavu, jamaa msanii kweli.