JK akiagana na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa 15 wa Wakuu wan chi za umoja wa Afrika AU uliofanyika huko Speke
JK akizungumza wakati wa mkutano wa 15 wa Wakuu wa nchi za umoja wa Afrika uliofanyika huko Kampala Uganda. 



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...