Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mdau, BloomsburyJuly 23, 2010

    Mh! Sujit usije tukana tu.

    Halafu Kiswahili gani hicho unaimba humo? Bwana ungeimba Gujarati tu au ungefanya collabo na mtu mwenye kujua kiSwahili.

    Lakini hongera, inaonekana una mapenzi na nchi yako

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2010

    hehe he! hii sasa kazi, jamaa naona analeta utani Bholo = mb@@,
    bhasha = basha!

    ReplyDelete
  3. ROTFLMAO!!! This had me rolling on the floor laughing, for real..Hahah!

    Tanzania Mabollo, Tanzania nzuri Basha Bollo zuri sana huh!

    Hillarious!!. Good job.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2010

    If you wanted to make it "proudly Tanzania" I think you should have started with somnething Tanzanian for all. in this case it should have been hujambo not even jambo because "Jambo" is for foregin swahili learners. You started with Kemcho, and that is where you belong first. in short ukabila lol.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2010

    nchi yetu hii aaaah basi tena kila mtu anafanya anavyotaka haki ya mungu daaaa,watanzania mabholo hahahaha

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2010

    bollo sio tusi haja tafsili tu maana yake sema anamaana 'mimi naongea kiswahili'

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 24, 2010

    Anon wa hapo juu umekurupuka tu bila ya kijua maana na haraka haraka umetumia 'ukabila'. Kaanza na 'kemcho na bollo' maanake 'usiseme kemcho' bali sema 'jambo' (bollo jambo sana) kwa hivyo ijapokuwa kaanza na neno kemcho inasoma kama ni sentensi nzima na ina maana tofauti na kinyume na 'ukabila' wako ulioumaanisha hapo juu... duh! tanzania badala ya kufurahia na kuushangilia wimbo huu tushaanza ukabila - maendeleo kweli ndoto kwetu... tizama wenzetu SA ambao wamepita katika kipindi kigumu cha ubaguzi na bado wanajitahidi kujiita rainbow nation na kuuwa ubaguzi na tizama maendeleo yao.. wamefika mpaka kuhost world cup...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2010

    Hatari mhindi kaipenda huyu,mpaka kaitungia wimbo.

    ReplyDelete
  9. hellow to all, madhumuni ya kutunga huu wimbo ulikuwa kuelimisha wahindi kwamba, msiongee gujrati, ongea kiswahili, mother language of our country,... " MATRU BHASHA - MOTHER TOUNGUE LANGUAGE" " NA BOLLO - DONT SPEAK", MAA BOLLO - SPEAK IN, .. THANKS FOR ALL THE COMMENTS, i shall take it positively. ahsante sana. sujit

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...