Ni wakati wa mnuso wa send off ambayo kwa kabila la Warangi inaitwa NTENGULI nayo hufanywa baada ya kumeremeta. Bi harusi anaitwa Monica Kijuu na Bw. harusi anaitwa Noel Joram, Mnuso ulikuwa ukumbi wa Salender bridge annex hall jijini Dar wikiendi hii.
Monica na wadau wakila pozi wakati wa mnuso huo
Ilingi origino la kutoka migombani lilichezwa hadi basi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2010

    The Bride and the Groom look kind'a familiar to me.

    Did we go to the same high school?

    I gather yes.

    Wishing you all the Best in your marital life.

    At least the two of you made it - from high school to the Chapel.

    May you grow old (happily)together.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2010

    All the Best Noel ....

    Dominic ..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2010

    Noel hongera sana, wish you all the best..Jimmy

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2010

    Kaka Noel Joram unawajua mademu wa kirangi lakini? Just a question, Otherwise best wishes nyiingi.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Monica, Kila la kheri ktk maisha mapya ya ndoa

    tembeatz.blogspot.com
    (Classmate O/Bay PS)

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2010

    Ankali unajua kwa nini wachaga wakicheza Iringo wanashikana mikono??

    at hawaaminiani, wasije sachiana!!LOL

    ReplyDelete
  7. Congratulations Noel and Monica!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2010

    hayo mambo ya madem wa kirangi ya nini hapa,hujui kuwa makabila yame change now days,makibila yote sasa ni moto hasa ya mikoa ya kaskazini!

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Monica....


    (Classmate kwa Mtakatifu)

    ReplyDelete
  10. vivia kageJuly 26, 2010

    hongereni sana marafiki zangu nawatakia maisha mema ya ndoa ya kumtanguliza mungu kwa kila jambo la familia mmependeza sana na kufanana

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 27, 2010

    hongera sana Noel n Monica u wedding was great too i enjoyed.i wish u a lovely huniemoon.
    A.Segulle

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 27, 2010

    Kila la kheri Noel & Monica, huyo aliyesema makabila ya kaskazini ndio moto akome kabisa.kila kabila siku hizi moto chini.

    ReplyDelete
  13. Congrats high school mates... Dakawa representing, that is soooooooo nice.. Mmependeza nad may God bless u sana miaka yote..Joan.

    ReplyDelete
  14. hahaha

    nimefurahi sana mumetukumbusha asili yetu!!!

    Monica Hongeri sana!!

    Ukamulumbya mosi....

    Kisungu cha mwana kiri morere!!

    Thanks.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...