Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers,Eric Shigongo akiongea kwenye mkutano wa Diaspora 2010 nchini Marekani July 2, 2010 kuhusu kuanza na kufanikiwa kwake katika biashara na wito kwa Watanzania waishio nchini Marekani hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Global Publishers,Eric Shigongo akipokea tuzo ya shukrani huko nchini Marekani. 

Great message, TZ should be proud of this guy aisee
ReplyDeleteSpeak for yourself!
ReplyDeleteMzee Ndaga hapo naona umeulamba si mchezo mwanangu!.
ReplyDeleteSHOGONGO SIKU NYINGI SANA AMEKUWA AKIANDIKA STORY BOOKS NYNGI TU NILIJUWA AMEFIKA VERSITY
ReplyDelete