Ni waziri wa mambo ya nje wa Algeria anaeshughulikia ushirikiano wa masuala ya Afrika Mhe. Abdelkader Messahel (kushoto) na kulia ni Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Mhe. Benard Membe wakitia saini Mkataba kati ya Tanzania na Algeria kwenye Hotel ya Movenpick jijini Dar es Salaam kwa masuala mbalimbali ya Elimu, Nishati,Habari Michezo,Nyaraka za Taifa, Mawasilano na Utalii.div>
Waziri wa mambo ya nje wa Algeria anaesheghulia ushirikiano wa masuala ya Afrika Mhe. Abdelkader Messah (kushoto) na kulia ni Mhe. Benard Membe wakibadilishana hati za Ushirikiano kwenye Hotel ya Movenpick jijini Dar es Salaam leo.Picha na Anna Itenda wa MAELEZO


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...