Make: Toyota Hilux
Model: Raider 2,7 (4x4), 1998
CC: 2700
Gearbox: 5 speed Manual, Selectable 4WD (H2/H4/L4), Differential Lock System
Fuel: Petrol
Registration: South Africa (TZ duty not paid)
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Mileage: 370, 000km
Capacity: 5 persons

For further details
CLICK HERE



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. David VillaJuly 23, 2010

    Mwenye hela anunue hilo gari.mimi ninayo hilux old model 2.8 ya 1992 LN107 hilux imara sana(Imported in year 2000 from JPN).Sema bongo bwana siku hizi gari ni fasheni tu kwa kwenda mbele..hadi kuna bodi za plywood(joke)..mmmhh.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2010

    asante mdau kwa mileage hiyo. 370,000 km naona inachungulia kaburi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2010

    HIVI HIZO 370,000KM NI BEI AU UMEMAANISHA KILLOMETA? MAANA TUNABISHANA HAPA KUNA JAMAA ANADAI ETI KM ITAKUWA NI MIHELA YA KIPARAGUAI NA EKSCHENJI RATE NI KM1 SAWA NA Tshs10 ZA KITANZANIA HIVYO BEI YA HILO GARI NI TshS3,700,000 Tasrim.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2010

    Ilikatisha kwa miguu kutoka south mpaka bongo? Hizo kilometer mbona nyingi sana? bado kigogo tu ingekuwa imezunguka dunia mara moja...hahahha....Wow kama miles 230,000 hapo...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2010

    IMEZUNGUKA DUNIA ZAIDI YA MARA KUMI ETI UTAMSIKIA MILIONI 20

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...