Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yessaya Mwakifulefule akimtwisha ndoo ya maji  Aeshi Idd mkazi wa Kinyenze Kijiji cha Kipera Wilaya ya  Mvomero mkoani Morogoro akipampu maji katika kisima kirefu wakati wa uzinduzi wa Kisima hicho kilichojengwa kijijini hapo kwa msaada wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom kupitia mfuko wake Vodacom Foundation juzi
Mtoto  Fatuma Abdalah, mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze Kijiji cha Kipera Wilaya ya  Mvomero mkoani Morogoro akipampu maji katika kisima kirefu wakati wa uzinduzi wa Kisima hicho kilichojengwa kijijini hapo kwa msaada wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom kupitia mfuko wake Vodacom Foundation juzi. Kulia ni Meneja wa Mfuko wa Vodacom Yessaya Mwakifulefule aliyekabidhi msaada huo, Katikati Afisa wa Mfuko Grace Lyon na mkazi wakijiji hicho Aeshi Idd.

Spain Oyeeeeee!
ReplyDeleteMzeee umelala au unasherekea bado?
Akimtwika Ankal..sio kumtwisha!
ReplyDeleteNahitaji hii huduma kwa ajili ya parents wangu kijijini.
ReplyDeleteMwenye kampuni binafsi ya kuweka hivyo visima please aweke contacts zake humu ama atume email kwa mariamkude2@yahoo.com