HERE WE COME...
ITS ONNNNNNNNNNNN after BALAA LA BONGO........!!!!!
JE, LONDON GONNA BEAT DAR????????????
Come on man 70% of people came to WHITE PARTY-DAR import their
dresses from EUROPE and STATES, sasa LONDON u ga all the shops there
and everything is possible in london in terms of dressing and is affordable.
IS IT POSSIBLE THAT LONDON PEOPLE
ITS ONNNNNNNNNNNN after BALAA LA BONGO........!!!!!
JE, LONDON GONNA BEAT DAR????????????
Come on man 70% of people came to WHITE PARTY-DAR import their
dresses from EUROPE and STATES, sasa LONDON u ga all the shops there
and everything is possible in london in terms of dressing and is affordable.
IS IT POSSIBLE THAT LONDON PEOPLE
WILL COME NOT DRESSING IN WHITE?????
Start NOW to think HOW U going STEP UP and Represent ur HOOD.
London GET ready for JayGONGA coming to yo on 7th AUGUST SEEBOS
OFF THE CHAIN coz JayGONGA never go WRONG.
Start NOW to think HOW U going STEP UP and Represent ur HOOD.
London GET ready for JayGONGA coming to yo on 7th AUGUST SEEBOS
OFF THE CHAIN coz JayGONGA never go WRONG.
its all abt dressing, look good and show them wat u ga.
JayGONGA BABY
JayGONGA BABY
Acha kuwa mawakala wa kutunisha uchumi wa nchi zilizoendelea!
ReplyDeleteHizo nguo nyeupe zingekuwa zinashonwa kutokana na pamba yetu = SAFIIIIIIIIIIIIIII!
hatujaja ulaya kuja kwenye white party...hakuna cha jaygonga wala cha jay nin....kwanza kila mtu ana shift tarehe 7...tutavaa izo white makazini kwetu, msituchanganyie habar, eti madukan bei affordable,...we ushazoea kwenda primark basi unaona wote wanaenda huko jaygonga sio...
ReplyDeletekachezeni huko huko dar...hapa ni box kwenda mbele...
mdau barking
what if you promoting young people to go school, starting by example
ReplyDeletehaahhaha wadau wameikataha hii !!
ReplyDeleteufisadi unaletwa mpaka london,mbona mzee wa libeneke hakuvaa white????jaygonga umepiga wrong number sorrrryyyyyyyyy!!!
ReplyDeleteGonga na J,
ReplyDeleteTangazo lenu halijaenda shule. Wabeba boxi wengi wanakutana na matangazo ya ma agent waliobobea kutoka nchi zilizogundua hizo "parrrry" na fasheni za viwalo, mkija na kitangazo uchwara eti cha kuonyesha nguo kwenye party mi naona mnacheza tu. Mnge stress watu waje ku have fun, sio nguo. Show za nguo tulizifanya DC na Columbus miaka ileeeee, sasa tuna watoto siku hizi eeeh, noma!
Promoter nae anabeep! English gani hii andika kiswahili tuelewe.
ReplyDeletelugha brokeeeen....si bora muandike Kiswahili tu
ReplyDeleteMnajishebedua tu hapa. Just wait n c hio siku njitu zitakavyobanana......lol. Na columbus tunawangojeni kwa hamu sio wote tuliokuwepo enzi hizo kama mdau anavyosema hapo juu. Na sio wote wenye watoto....lol.
ReplyDeleteJayGONGA count me in mwayegoni. N im telling u, patakuwa hapatoshi. Word!!!!!
Halafu huyu J Gonga si anadai ana degree ya hukohuko uingereza, sasa mbona kiingereza kibovu hivi jamani...eti anasema IS IT POSSIBLE THAT LONDON PEOPLE WILL COME NOT DRESSING IN WHITE?????...Kha!! Na hiyou gonga wear imeishia wapi...hahaha imekula kwako!!
ReplyDeleteLakini nakupa hongera, watu watakuja kwenye party zako kwasababu hawataki kupitwa, lakini ukiangalia undani there is nothing special, yaani ni idea tu ya watu kuvaa nguo rangi moja end off. Usiseme ma haters kibao, ukweli unabaki kwamba kiingereza chako ni kibovu na Gonga wear kwishnehi...positives ni kwamba umechukua simple idea na kuipeleka across 3 continents. Ingawa ile party ya states ilikuwa ovyoooo asikudanganye mtu.