Washiriki 12 wakiwa katika pozi la pamoja mara tu baada ya kuingia ndani ya Jengo la Vodacom Makao makuu Arusha.
Mkuu wa kanda Mr. Nguvu Kamando akiongea na washiriki baada ya kutembelea idara mbalimbali za ofizi za Vodacom kanda ya kaskazini.
Washiriki wa Miss Northern Zone wakikaribishwa kwa champagne katika ofisi ya Vodacom Makao makuu Arusha na M-pesa Manager Katikati Mr. Frank Kileo.
Msimamizi wa masoko kanda ya kaskazini Mr. Riziki Mwalupindi akiwaelezea washiriki huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom.shindano hilo linatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 16 Julai katika hotel ya Naura Spring iliyoko Arusha mjini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...