Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2010

    Meeen only in Tanzania!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2010

    Maendeleo halisi Tanzania ni baada ya miaka 200.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2010

    Hapo Uncle Michuzi kuna Tatizo moja la ufundi nalo ni hili.Ukiangalia hiyo zebra crossing ni sehemu ndogo tu ya ule upande wa Empress cinema(zamani) ndiyo inamustali mweupe yaani stopping line kwa madereva ili kuwapisha waenda kwa miguu. Huku ulaya kila crossing area ina mstali mweupe yaani solid line ambayo kazi yake ni kumfanya dereva asimame hapo amwonapo mtu kwenye kivuko cha waenda kwa miguu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2010

    ankal asante kwa kutupa picha ya hapo naomba ufikishe kwa wausika hiyo sehemu bila taa au askari wa kuongoza magari patakuwa machinjioni. watafute ufumbuzi gani waweke lakini hizo arama kwa hapo tz hazitoshi madereva hawafuati sheria kabisa.mdau wa texas

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    TANZANIA Mtimti kweli,miundo mbinu mibovu madereva hawaeshimu sheria za barabarini na hii ndo tabu ya kuletewa 'LESENI' nyumbani madereva hawajui sheria kabisa.kwenye hiyo 'ZEBRA CROSSING'mwehhh nimecheka mpaka basi dalala ya mwendesha gari amsubiri mtembea kwa miguu avuke eti mtembea kwa miguu ndo anasubiri gari lipite na yeye eti ndo avuke haki iko wapi sasa hapo.Sheria hakuna rushwa ,mtindo mmoja na kwa hali hii bado TANZANIA tuna safari ndefu mno.njooni huku EUROPE muone madereva wanavyoendesha magari kwa adabu barabarani.
    Mdau-Mji wa Kusoma!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2010

    TATIZO NI MADEREVA KWANI HAWAJUWI KUWA WANATAKIWA KUSUBIRI WATU WAVUKE WAO WANAONA WAO NDO WENYE BARABARA TU NA WATU HAWASTAHILI, HAWAJUWI SHERIA ZA UENDESHAJI WA MAGARI, HAPO WATAUA SANA WATU.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2010

    waweke na taa basi maana hapo ajali zitaanza kutokea muda si mrefu

    ReplyDelete
  8. Nabii Yohanna Mashaka Yoweli Kaguta MuseveniJuly 26, 2010

    HIVI HAWA TU WA DARIALAMA WANA AKIRI KWELI, KAZI NI KUENDESHA OVYO OVYO TU. MIMI NITAANZA KUWAPIGA VIBAO HAWA MADELEVA WA DADLADALA ILI WASHIKE ADABU ZAO
    HII NDO MAANA BOSI WANGU KILA SIKU ANANIGOMBEZA KWA NINI NIMECHELEWA KAZINI PALE VODACOM KUMBE NIMECHELWA KWENYE FOLENI. BWANA MIMI NIMECHOKA NA MAISHA ZA BONGO, NARUDI KWETU MALEKANI NIKABEBE BOXI WOLSTRITI NIMECHOKA KULA VUMBI AISEE

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 26, 2010

    Michu sasa nimeelewa kinachoendelea. Hizo zebra bwana si kama zile za kawaida yaani unasubiri watu wapite ili gari liendelee na safari.

    Haya ni maandalizi ya kuweka Taa, yaani hiyo junction which is going to traffic lights. Sasa mataa yakiisha wekwa ndiyo kutakuwa na watu kuvuka. Ila yote ni waste tu. Hapo inatakiwa flyover tu basi, au ndiyo flyover za kibongo hizi?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 26, 2010

    hiyo ndio bongo stupid drivers hawajui kuendesha magari wao ilimradi wafike wanakokwenda,mh!mbona kazi mnayo alafu mtu ataniambia bongo kunamaendeleo yapi?bora nifie ulaya kuliko kurudi sehemu kama hiyo nijitafutia matatizo na watu manake sisi tuliozoea maisha ya ulaya hatuwezi hayo makeke ya bongo huko ni mabavu tu watu hawafuati sheria ushenzi mtupu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 26, 2010

    twende tukajue hata bei zikoje !! msela anaenda kutolewa upepo!! hahaha bongo bwana

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 26, 2010

    kisutu nyumbani pale

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 26, 2010

    Kweli Bongo only Strong Survive, Sheria za barabarani duniani kote ni universal kwamba share the road with pedestrians or cyclists and i think this theory never exists in Bongo and i almost guarantee that we will never make to the level of other countries may be it will take a century to get where others are!! Ovyo kabisa ndo maana tunaotoka Ughaibuni tukiendesha magari Bongo siku za mwanzoni tukifika chance za kupata ajari ni 90% and the reason is tunaheshimu sheria mno sehemu ambayo hawa heshimu sheria za barabarani.Asante Bwana Michuzi for the clip
    Mdau DC

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 26, 2010

    Duh nikikumbuka jua la hapo, hujala, bado kugombea daladala la kwenda home baadae, naona bora niendelee kupiga box tu maana naona Mungu amenipenda sana kujikuta niko hapa kiwanja !!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 27, 2010

    Hapo kwanini hakuna traffic lights? Maana naona watu wanatumia ujanja kukwepa magari.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 27, 2010

    wazo sio baya sana,mimi kwa mtazamo wangu nishauri kuwe na mataa na vile vile kituo cha posta mpya kiwe cha kushusha tu abiria.maana msongamano mkumbwa ni madaladala yanayopakia pale posta.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 27, 2010

    TRAFFIC LIGHTS ZIKIFANYA KAZI TRAFFIC POLICE WATAKUTEGA.MATAA ZIKIZIMIKA,
    POLICE HAWATAONEKANA.UJANJA UJANJA TU.

    ReplyDelete
  18. SAFII SAANA MICHUZI. TUWEKEE ZINGINE BASI, SISI WA UGHAIBUNI TUNAKUMBUKA SANA BONGO....ACHANA NA MALIMBUKENI AMBAO KAZI YAO NI KUSAGIA TU BONGO....HUWEZI KULINGANISHA BONGO NCHI ZA DUNIA YA KWANZA

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 27, 2010

    There are two things here 1. It looks like No one knows about the laws and regulation that you have to stop and let the pedestrian cross OR 2. people just ignore the fact that there is a zebra crossing.
    Additionally, it looks like the authority have not even used the correct measurements. THESE CROSSINGS ARE TOO LONG TO BE ZEBRA CROSSINGs. JAMANI KAZI KWELI.
    Bongo bado....tukipeane tu kazi huko halmashauri, tutafika kweli?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 27, 2010

    Mimi naona hatutaendelea kabisa kwa sababu mizizi ya maendeleo imeoza.Sheria inatakiwa ianzie juu na watu wa chini wanafuata lakini hamna kitu hao walio juu wanajali maslahi yao nyie walala hoi mtajijua.Kwa kweli inasikitisha sana tunashindwa kuweka mfumo mzuri wa sheria za barabarani ili kupunguza ajali msongamano hao polisi usalama wanapata hela za bure kila mwisho wa mwezi hamna wanachofanya.Sidhani kama wana mikakati yoyote ya kufanya mabadiliko ya usalama barabrani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...