Home
Unlabelled
albino wa kenya aponea chupuchupu mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal,duh hii ni breakthrough katika sakata la mauaji ya Albino.
ReplyDeletelooo upuuzi mwingine bwana, kweli jamaa ana bahati sana, ingekuwa sio mtego wa polisi na ni hao wanga wanataka viungo wangemuua na asingekaa ajulikane milele, jamani acheni ushirikina mbona hatuoni utajiri wenu??
ReplyDeleteNenda ubalozi wa marekani ukalambe makaratasi kijana, ila ujiandae kuja kupiga boxx kwa kwenda mbele
ReplyDeletehee hii ndoyo taharifa ya pilice TZ OMG
ReplyDeleteHivi Uncle Michuzi hii mtego mingine Police wanayoiweke huwa hawajiulizi kwanza? Maana huyu jamaa aliyemleta albino angeweza Kumleta baada ya kumuuwa kwanza sasa maana ingekuwpo ya mtego? Police wamehatarisha maisha ya Albono kwa namna nyingine.
ReplyDeleteHILI UKILIANGALIA VIZURI KWA JICHO LA KISHERIA, NI KWAMBA HUYO JAMAA ALIYEMLETA ALBINO HANA KESI YA KUJIBU ISIPOKUWA ALBINO NA HUYO JAMAA WATAWAJIBIKA KWA KUINGIA NCHINI BILA KUFUATA TARATIBU ZA UHAMIAJI TU KAMA HAWAKUZIFUATA. NIMEASHUMU HUYO ALBINO ANA UMRI ZAIDI YA MIAKA KUMI NA MINANE.
ReplyDeleteAibu tupu Tanzanaia!! Khaa!! Hivi hii kitu itaisha lini? Tuweke mikakati ya dhati kuwalinda hawa ndugu zetu.
ReplyDeletenina huzuni sana kuona bado watu wanaendelea kuwauwa au kuwajeruhi ndugu zetu albino kwa tamaa ya pesa. jamani ni lazima tuwaambie polisi tukisikia fununu kwamba kuna watu wanataka kufanya uovu huo. hii ndio njia tu ya kumaliza hii kitu. huyo anaye sema eti huyo jamaa makosa yake ni kuingia tz bila kufuata sheria aache hizo sheria amerika. mimi ninafikiri ni mmoja wa customers wa hao wajinga otherwise asinge watetea. you are very cruel.
ReplyDeleteRPC ametumia style ambayo ni hatari sana na old fashioned,hakupaswa kumtumia Albino kama chambo,kwanza ukisikia story yenyewe ni kama walimtuma awaletee albino kwa ahadi ya pesa nyingi,je wangemuua kwanza na kuleta viungo kama mtego wa ulivyokuwa si RPC naye angekuwa accomplice au assecory before the fact,please police try to be more scientific in your approach.
ReplyDelete