wanafunzi wakipata taswirazzzz juu ya kiti cha spika
Mdau akipata taswirazzz juu ya kiti cha spika

taswirazzzzzz
Wanafunzi toka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wakipata maelezo kuhusu Siwa ya Bunge, Historia yake na utaratibu wa kuitumia Bungeni kutoka kwa afisa wa Bunge. Kwa nyuma ni bango lenye picha za wabunge wote waliomaliza mda wao katika Bunge lililopita



Kiti kipya cha Spika kinachotumika hivi sasa



Bungeni ambacho kimechukua nafasi ya kiti cha kwanza



kilichotolewa na Bunge la Uingereza Kiti cha Spika cha kwanza cha Spika ambacho kilitolewa kama zawadi na Bunge la Uingereza (House of Common) kwa Bunge la Tanganyika mwaka 1962 mara baada ya Uhuru. Kiti hiki kimetumika nchini mpaka mwaka 2005
Mpambe wa Bunge Koplo Juma Simango akiwaeleza wananchi alama mbalimbali zilizopo kwenye kiti cha Spika pamoja na Joho lake (lililotundikwa) maana yake na namna zinavyoashiria katika vifaa hivyo vya Bunge.
Wananchi wa Mkoa wa Dodoma waliofika katika Banda la Bunge kwenye maonyesho ya nane nane wakisoma kwa makini baadhi za micha za matukio ya Bunge enzi za Ukoloni. Picha hizo zinaonyesha Bunge la Tanganyika na baadhi ya wabunge wa Bunge hilo.
Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge.









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hilo ndiyo joho lililonunuliwa Uingereza kwa paund 6,000. Wakati designers wa Tanzania wangeshona joho la namna hiyo hiyo kwa paund 100 au chini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...