Dj Oscar Urio na mai waifu wake Emmaculate Chuwa katika mnuso wa kumeremeta kwao usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Karibu Art Gallary uliopo Mbezi Beach jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hongereni. Bibi harusi ana umbo zuri. BIBI HARUSI ANGEKUWA MZUNGU, WADAU MNGESEMA BWANA HARUSI ANATAFUTA PAPERS,eh..!!

    ReplyDelete
  2. Hi Oscar (a.k.a. 'meeeh')! ...U made it... Congrats bro...! BK

    ReplyDelete
  3. dah kaka yangu , jirani yangu , ndugu yangu naona kimyakimya mzee naona distance inachangia watu kutokukumbukana hongera na tunawaombea maisha ya amani ,upendo nafuraha

    ReplyDelete
  4. Nawapongezeni saaana.
    Bibie mbona huna smile?

    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  5. Nawapongezeni saaana.
    Bibie mbona huna smile?

    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete
  6. wachaga bwana?
    hhahaha

    ReplyDelete
  7. wish you happy marriage life Mr.&Mrs.Oscar.
    urs.cousin
    James M

    ReplyDelete
  8. duh! mzee mzima nakuona hapo.. mlipendeza sana kaka natamani ningekuwepo.... itabidi ya kwangu nikupige mchango tu coz,, ulizubaa kuchukua mchango wako. lyidia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...