Home
Unlabelled
OBAMA'S RAMADHAN MESSAGE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mnaona sifaaa vile ni obama mbona kikwete naye anasemaga hamleti
ReplyDeleteGod Bless you Mr. President.
ReplyDeleteGod Bless America.
God Bless Tanzania.
God bless you all.
(US Blogger)
Doh watu bwana. sasa huyo ndugu yetu wa kwanza hapo juu ana maana gani?
ReplyDeleteMdau sihatuna ya kikwete post basi kama unayo.
ReplyDeleteHuyu mheshimiwa Obama is definitely on his way out...akiambulia hata 30% of the vote itakuwa ni maajabu...
ReplyDeleteMTOTO wa kikopo utamuona tuu hata ukimtia nani ya chupa atatoa kidole nje na kukupiga yowe nimo humuuuu.
ReplyDeleteMTOTO wa kikopo utamuona tuu hata ukimtia nani ya chupa atatoa kidole nje na kukupiga yowe nimo humuuuu.
ReplyDeleteOBAMA LEO KWENYE FUTARI YA RAMADHANI KESHO KWENYE KAMPENI ZA KUDAI HAKI ZA MASHOGA AUTOMATICALLY 2012 JAMAA ATASHINDWA KWA AIBU KUBWA
ReplyDeleteOBAMA UCHUMI UMEMSHINDA KABISA HAPA USA KILA SIKU KUCHAPA PESA MPYA SASA KAHAMIA KWENYE DINI NAWAHURUMIA DEMOCRATIC HAPO NOVEMBER WATASHINDWA VIBAYA
ReplyDeleteRight mdau namba moja kwanza kuna madai kuwa mshikaji anatetea sana mashoga kwa kuwa
ReplyDeleteTHANKS MR.PRESIDENT.
ReplyDeleteGOD BLESS AMERICA
GOD BLESS TANZANIA
ondoa majeshi yako afghanistan na irak acha kuua waisilamu wanaotetea dini yao
ReplyDeletemikono yake imejaa damu za waarabu pakstani,afghanistan na irak hivyo anajikomba kwao
ReplyDeleteMdau naungana na wewe huyu mheshimiwa anajiharibia mwenyewe na juzi kaibua lingine kuhusu ngoma wanayotaka kujenga karibia na zero ground, u know what am talking about. Wamarekani wamekuja juu anasema walimnukuu vibaya. Jamaa anajiharibia mwenyewe, anajua kabisa hii nchi ipo upo gani yanapokuja mambo ya dini, moto ataanza kuuona november hapo
ReplyDeleteHis aproval ratings is 40 percent . Haya mambo ya msikiti angewaachia watu wa NY . Anajua wazi wamarekani wanamhisi ni mslam na sio mmarekani . Jana amebadilisha sentensi anasema hajasema hivyo . Tangia ubama amechaguliwa nchi imefawanyika sana . Weusi wako kivyao, weupe ndio usiseme na sasa waspanish ndio wanagombaniwa .
ReplyDeleteKUJENGA KANISA ZANZIBAR NI KAZI NGUMU KWANZA KUAPTA KIWANJA TU! MAPKA UPITIE MGOGO WA MUISLAM! MAANA MWAONGELA YA MAREKANI AMBAPO NI HAKI MTU KUABUDU; LAKINI TZ UKIENDA Z'BAR HAKI YAKO YA KUABUDU HUPATI MPAKA KWA MBINDE KALI LAKINI BARA KILA KAMA ALIVYOSEMA MZEE WETU MPENDWA RAIS MSTAAFU KILA MTU RUKSA KUABDU KWA KADILI YA MGUSO WAKE: MWENYE KUEPNDA KUSALI JUU YA JIWE APEWE KIWANJA....NK. HATA SASA BONGO TUNA TATIZO VIONGOZI AMBAO HAWEZI KUSIMAMA KUTETEA KATIBA NA TARATIBU ZA KITAIFA. LIKIWEPO SUALA LA KADHI WANAWZA KUCHAGULIWA KABLA YA KUSEMA UKWELI WA KIKATIBA, SANA SANA WATASEMA TUMELIUNDIA TUME; NA BAADAE CHINI CHINI WANTUMA WATU KWENYE MISIKITI NA MAKANISA WENYE KAULI TAFOUTI. UONGOZI WA AINA HIYO UGAWA TAIFA NA UANDAA MAZINGIRA YA VITA VYA KIDINI NA KIKABILA. MBAYA ZAIDI TU TAIFA CHANGA, WATU WETU HAWACHELEWI KUKIMBILIA KWENYE KAPUA LA UKABILA AU UDINI KUTAFUTA UFUMBUZI; Obama ni Kiongozi Shupavu anyesimamia Taratibu na Katiba ya Nchi yake
ReplyDeleteJamani tuacheni majungu hapa, huyu mshikaji hajasema lolote mbaya...lakini siunajua kisa mmakonde tu watazusha mambo chungu mzima...Big up OBAMA.
ReplyDeleteObama amenishangaza anavyofanya maamuzi yake . Yaani November 0bama atakuwa na congress ya ma tea party . Atakoma watamwonyesha . Na kesho jumatatu Itaanza na Rush Limbaugh akipokelewa na Hannity na hapo anafuatia. GLENN BECK huyo ndio chizi mwenyewe jioni anamalizia BILL OREILLY jumanne kura za maoni 30 percent . Wanataka vacation za hali yajuu mambo juu ya mambo . Kweli mwafrika akipata position anaharibu mwenyewe . Makubwa
ReplyDeleteA smart president!! This is good for foreign reach out and for healing wounds among west and Muslim...Yuko juu kuliko wewe mwenye chuki za kidini..Anatambua wote sisi ni binadamu and the need to respect and acknowledge one another.
ReplyDeleteAcheni chuki. Yaani huyu bwana kuzungumzia Uislam basi ndiyo na approval ratings zake za kina Oreilly zinakuwa issue.
ReplyDeleteNilidhani we are proud of having a black president! Sikujua pia ni lazima awe anti-islamic as well.
Preach LOVE and practice HATE huh!
Great, a smart president,,,, salute mdau wa Mon Aug 16, 06:37:00 AM
ReplyDeleteMon Aug 16, 02:30:00 AM
ReplyDeleteni kweli kabisa nakukubalia %zote
adi mtu unashangaa ivi zenji ni sehemu ya tanzania au uarabuni?
kwani hakuna wazenji wakristo na katiba sijui nn yao inasemeje abt kujenga makanisa?mbona misikiti inajengwa?
wee ngoja kwa maombi tu
%$$#*)**^%%#
Obama anamatatizo na faith yake hajulikani mslam au mkristo . Hii imewapa republican jembe . Wewe hapa sio Tanzania hapa siasa imekomaa hapa . Neno moja tu linakuangusha . Obama alichaguliwa kuwa raisi watu hawakujali rangi . Sasa akikosea wamwonee huruma kwa sababu mweusi ? Hii nchi ni ya wazungu na wajewish . Obama yaani tabu tupu
ReplyDeleteKusema ukweli obama anachemsha huyo . Kweli siasa alivyokuja juu nilihisi atakuwa raisi mzuri sasa anaelekea kwa JIMMY Carter. Amesahau alikotokea
ReplyDelete