Birthday Inila Udo Happy Birthday To You...
Tunakutakia maisha mema na marefu mnooooo, usheheree siku yako ya kuzaliwa leo Agosti 4, kwa amani na upendo. mungu akujaalie baraka tele,na akupe kila unachomuomba. Tunakupenda sana
Baba Mfundo Peter Mfundo & Mom.Halima H. Mfundo
Germany
Tunakutakia maisha mema na marefu mnooooo, usheheree siku yako ya kuzaliwa leo Agosti 4, kwa amani na upendo. mungu akujaalie baraka tele,na akupe kila unachomuomba. Tunakupenda sana
Baba Mfundo Peter Mfundo & Mom.Halima H. Mfundo
Germany
Naungana na wadau wote walioshauri kutumia lugha fasaha. Hii blog inatembelewa na watu wote. Wengi wao ni watu wenye heshima zao. Wengine wanajifunza lugha hizo
ReplyDeletemtoto mzuri! lah! naomba email yako unafaa kuwa mchumba
ReplyDeleteWoow, thanks for your flattery. I am blushing (I have turned red really).
ReplyDeleteWell, sina active email, ila kuna hizi email addresses za jamaa yangu, waweza zitumia,
fisadikiwembe@bajaji.co.btb
na
gwagu@juju.btb
I am eargerly awaiting your email.
Thanks.
michuzi nawewe umezidi kuchapia unavosema happy birthday ya kuzaliwa kwani kuna happy bbirthday ya kufa????jiangalie weye
ReplyDeleteHappy birthday to Munny, wish u all the best.. lots of love Aunt F
ReplyDeletehi!Munira
ReplyDeleteHappy Brithday tunakutakia afya njema,elimu bora na maisha mema!
Hongera sana kwa siku kuu ya kuzaliwa.
Wadau
FFU ughaibuni
nilidhani kafa.... jamani wekeni picha za aina nyingine nimeshtuka sana sababu nawajua hawa kina mfundo tunaishi nao vizuri kule kawe mlalakua
ReplyDeleteHappy B'day
ReplyDelete(US Blogger)