Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. PUMBA TUPU!!!!! Fool once shame on you , fool me twice shame on me

    ReplyDelete
  2. Michuzi mbona Clip ya JK kuanguka hujaiweka? Ndiyo maana mimi wewe huwa ninakuona ni mzushi. Kama kweli lengo lako ni kutoa taarifa kwa jamii, ungeweka na kipande ambacho Mzee mzima alidondoka, maana hata TBC, ITV, StarTV na Channel 10 wamebania kuonyesha, sijui mnaogopa nini?

    ReplyDelete
  3. MABADILIKO YANGEKUWA NA FAIDA ZAKE LAKINI KATI YA WAGOMBEA WENGINE SIMUONI ANAEFAA. PADRI WETU AMESHASHIRIKI UTAPELI WA FEDHA ZA KANISA, AMESHAVUNJA AHADI ALIZOWEKA KWENYE KIAPO NA MUNGU SEMBUSE ATAKACHOTUAMBIA BINADAMU. WENGINE HAWANA JIPYA KABISAAA.

    ReplyDelete
  4. kila cooment nnayo weka ankal ana ibana kwa kifupi mambo mazuri yanaonekana,jkikwete katupoteza muelekeo watanzania tumerudi nyuma miaka kumi kwa mitano aliyokaa madarakani,anaongea pumba hamna hata la maana moja historia ita kuukumu na vizazi vijavyo havita kusahau kwa yote msabaya uliyotufanyia kujifanya mwema na kumbe nimnafiki.ibane na hii ankal

    ReplyDelete
  5. sasa mkishaona alivoanguka ndio itawasaidia nini?watanzania bwana ushabiki kumchuzi tu!

    ReplyDelete
  6. Sun Aug 22, 01:28:00 AM
    aliweka jana lkn leo hakipo kama unavyomjua

    ReplyDelete
  7. jamaa afya yake mbovu lakini hataki kukubali.

    ReplyDelete
  8. msitoe comments as if hamuamini kama Mungu yupo,hata umati tu unaleta kizunguzungu,tumuombee tu jk wetu kwani ingekuwa yeye ndo alivunjika mkono mngefunga na vibwebwe.binadamu wote afya mbovu thats why hatujui cku wala saa.na wenye hirizi msiwe mnamsogelea pres wetu may be yupo active.

    ReplyDelete
  9. thethetehehhh... wewe umenichekesha sana...ati wenye hirizi wasimsogelee? eti yeye yuko active? ACTIVE kwenye lipi hasa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...