Home
Unlabelled
JayGONGA ALL LONDON WHITE PARTY-2010 II a hit
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rudini nyumbani..........
ReplyDeleteWADAU TUELEKEZANE NN MANTIK YA WYT PARTY ISIJE KUWA TUNAFUATA UPEPO KWA VILE TU KITU HICHO MAADAMU KIMEASISIWA AU KILIFANYWA NA MTU MWEUPE BASI HUONEKANA NI LULU HATA KM UKWELI HAUKO HIVO.
ReplyDeleteOVYOOO...kafanyeni kazi nyinyi kazi kujirusha tuuu kaazi kweli kweli.
ReplyDeletenyunmani wapi?asilimia 80% ya unaowaona hapo ni waingereza that means england is there home huko wanakuja vaccation tu,sasa sikuelewi unavyosema warudi nyumbani,unaona choyo wanaishi mamtoni?haaaaaaaaaaaaaaaaa!kajinyongeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeletekama manesi.
ReplyDelete"Life is a jouney enjoy it" na safari ni safari hata kama barabara in mashimo. Hongere dereva Frank Gonga kwa kugonganisha watu
ReplyDeleteWhite party nilisoma siku moja kwenye gazeti huko Marekani nafikiri iliandaliwa na P Didy kama sijakosea hivi, tangu hapo nikaanza kuona na hapa kwenye bongo inafanyika, labda kama huyo mdau hapo juu alivoulizwa maanake nini? ili na sie wengine uiojua maana tuelewe.
ReplyDeleteJapokuwa sielewi maudhui ya white party lakini nafikiri ni fursa nzuri ya kukutanisha marafiki maana maisha bila marafiki ni mafupi kuliko unavyoweza kufikiria. Alafu naomba kuuliza hivi huyu Mr. Gonga ni yule aliyeshirikiana na Jide kwenye video fulani miaka ya nyuma?
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Duh Freemason Wamejuwa Kuteka watu kwa kutumia Celebrity Satan kila sehemu hapo. Mnao Muda Bado sasa Kuzifanya Futari Party tutajionea humu kwenye Blog Siku ya Ramadhani. Michuzi Bania na hii Basi Mwenyezimungu anaona. MZ
ReplyDeleteJamani watz hizi party zinaongeza thamani gani kwenye maisha yenu? Ukiwaambia wachangie fee ya mtoto km utawaona..watumwa wakubwa anagalieni mataifa mengine wanavyosaidiana
ReplyDeleteMnaudhi sana
Duh Freemason Wamejuwa Kuteka watu kwa kutumia Celebrity Satan kila sehemu hapo. Mnao Muda Bado sasa Kuzifanya Futari Party tutajionea humu kwenye Blog Siku ya Ramadhani. Michuzi Bania na hii Basi Mwenyezimungu anaona. MZ
ReplyDeletewhite inaendana na mtu mweupe na tunaishia kuamini white ndio kitu kizuri, hata Kama P. Diddy ndio alianzisha.
ReplyDeleteMngeanza kuitukuza rangi yenu Black Party ingeeleweka vizuri zaidi
The New York City White Party was first held at the legendary private gay disco "Flamingo" on Broadway and Houston, on Presidents' Day weekend. The white theme derived from the snow often to be found that time of year. It was then adopted by the East Village disco "The Saint" during the month of February of each year usually coinciding with the full moon. Dress requirement was always white. After the closing of "The Saint" in 1988, The White Party became the norm for other cities around the country in the current circuit party system to host such events. Kimaro
ReplyDeletenkyabooo ndiyo , huyu ni frank alitoka kwenye ile video ya jay dee wimbo wa... umeondokaaa umekwenda mbaali nailazimisha furahaaa...... inshort tunamwitaga frank machozi, baada ya ile video
ReplyDeletewatu mmepinda humu?hahahahahaaa
ReplyDeletelol hahahahahaaa
we ulieandika hapo juu imean comment ya kwanza nani arudi nyumbani?huko bongo kupeana kazi kwa kujuana bora nipige box lng najua kwa siku sikosi pound150-200 kuliko kuja huko nikatafuta maradhi kutoka na mabos wanipe kazi halafu hiyo kazi silolote wala chochote.................
ReplyDeletebora umwambie manake mimi sijamuelewa anaongelea nini?eti rudini nyumbani,mkae wenyewe huko na matatizo yenu mimi naishi mamtoni maisha swaaaaaaaaaaaafi!
ReplyDeleteWengine mngekaa tu nyumbani...kama hukuparty enzi za ujana wenu basi tena...mtazalia kwenye party siku moja
ReplyDeleteHii ni kwa Michuzi! Matukio mengine yasiyo na tija kama haya wabandikie kipicha kimoja tu kinatosha tena walipie yaani you have to make money from unwise spenders like these maana hakuna cha maana wanachofanya hapo. Wengine wanalelewa huko, wengine wanafanya kazi za aibu sana, wengine wanalala kwenye makorido, wengine kweli wanakazi na maisha mazuri lakini sio hao wa kwenye picha hata kama wapo kati ya hao ni wachache mno, yaani ingeuwa tunawaangalia maisha yao kwenye TV kama BBA naamini hakuna mbongo angetune channel yao maana ni aibu tupu! MICHUZI UMESHAZURU SANA MAMTONI HIVYO UNAJUA NINI NAMAANISHA
ReplyDeleteThe one say that in New york white party means saint or wherever we don't care what happen in New york or other party of world here is about having fun so you can choose any colour you want but this people choose white and white makes look clean and elegant especially everybody in white.
ReplyDeleteAnonymous wa mwisho tafadhali nenda shule!!
ReplyDeletekaaaaaaaaaaaaaaazi kweli
ReplyDeleteIts just a chosen theme. I dnt c any problem with it. Pple get to meet and knw each other. Its just like wewe unavyoamua siku kwenda bills, ama mzalendo,ama lango la jiji, basi na wewe badala ya kwenda huko, hiyo hela ungepeleka kwa watoto yatima. Tofauti ya hapa ni kwamba hii ilikuwa na theme, thats it. Tuacheni chuki jamani. Kama hukuamua kwenda, hayo ni matatizo yako na si kwamba ulifukuzwa mlangoni. Na wewe unayesema kurudi bongo, warudi kufanya nini? Nchi inanuka ufisadi 24/7, ni heri ya wao wanaobeba box, at the end of the day haki yao wanaiona. Kuliku huku ambako wenye nazo ndio wanaoendelea kupata. Sisi walala hoi tunabakia kuambulia ushuzi tu.
ReplyDeletekaaaz kweli kweli..
ReplyDeletejamani.. kama wana piga mabox...waache wapoteze stress on sunday, box gumu jamani.. ahem.. ahem.. nime wa exclude wale wanao lea vibibi.. lile sio box jamani...
na wewe anonymous unaye tetea maisha mswanooo... nani kasema... umesha lipa rent nini? na kazi gani hiyo ufanyao pound 200 kwa siku? una lala kazini nini? hata michuzi ana ushahizi.. umekuwa cameron.. ama ma poooouuuuddeerrrr
people need to grow up jzzzzzzzz......stop hating! ulikuwa unatafuta nini hapa kama sio donge? umepata wapi huu muda wa kutazama hizo picha kama ulikuwa na kazi ya maana ya kufanya? halafu acha upumbavu nani kasema hapa ulaya watu wanafanya kazi za aibu? how do you difine that? ndio maana hamuuendeleei? mnaona aibu kufanya kazi za kuendeleza nchi yenu halfu mtegemee sisi turudi tuwabebe! fungueni macho labda tutarudi hatuwezi kukope na vipofu...sijui viziwi either way.
ReplyDeletehalafu wewe unayesema manesi ovyo kabisa unafikiri hapa tanzania...nani kasema nurse wanavaa nyeupe? toka uone mengi kijana..... au soma? achani ujinga wtz wenzangu ndio maana wenzenu hawarudi... how do they cope with all these idiots....
ReplyDeletehaaa!nyinyi mnaoponda na kuongea maneno machavu,ni wivu tu unawasumbua,kama kungekuwa ni rahisi kuja england nafikiri mngekuwa wa kwanza kuomba visa but thanks GOD mambo sio marahisi hivyo.sasa wewe inakuumia nini hata wakifanya kazi za kichafu?at the end of day wanapata pound za kuwafanya waishi,hawamuibi mtu ni nguvu zao acheni wivu jamani sizitaki mbichi hizi looooooooooooooooooo!
ReplyDelete